Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu walipigwa shiiiiiii.ikawa kimya""watu waliziogopa mpaka cm zao""watuwalitembea jichonyuma marakwamala utadhania wametoka kuiba wake za watu""ukikutana na polis mioyo fyaaa utadhani unakesi""...
4 Reactions
3 Replies
900 Views
Beberu lingine linawafuata Watz, linatakata hela yake tena ndefu, mnakwama wapi majirani, sheria hamzijui?
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Zipo ishara za wazi sana kuwa Rais Magufuli anaenda kushughulikiwa vilivyo na jumuiya za kimataifa na litakalotokea mpaka watanzania wenyewe watashangaa. Nimemsoma Dr. Christopher pahala (Huyu ni...
24 Reactions
25 Replies
3K Views
*Moderator: Kichwa cha habari kianze na Neno KAMARADA Humphrey Polepole tafadhali* Usipange Kukosa Mjulishe na Mwenzako •Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya...
13 Reactions
58 Replies
5K Views
Niwapongeze waandishi wa habari wa Zanzibar kwa namna wanavyofuatilia na kuripoti habari za uchaguzi. Mungu awabariki Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
0 Replies
914 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi, katika siku tatu hizi mfululizo kuna mambo mengi ya kisheria tumejifunza kama wana. Ingawa Tundu Lissu anaweka mitego ili tujiingize kichwa kichwa halafu ije tuonekane ni nchi...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Inakuwaje wanaJF! RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi
37 Reactions
66 Replies
8K Views
Hivi karibuni katika mazungumzo yangu na marafiki zangu ambao ni watumishi wa umma niliwauliza kuhusu mtazamo wao kuhusu mambo yafuatayo ndani ya muktadha wa kampeni za uchaguzi mkuu. Mambo hayo...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Wadau wenzangu. Ninaomba tutafakari sana kabla ya kupiga kura mwaka huu. Tunao wagombea urais wanaong'ara wawili. Mmoja ana uzoefu wa urais kwa miaka mitano na mwingine ni kijana mwenye ari na...
1 Reactions
1 Replies
642 Views
Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
“Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu. "Kama ilivyosahihi kwa...
64 Reactions
168 Replies
19K Views
Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto. Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sioni kitisho au mtu yeyote anayeweza kurudisha nyuma au kuzuia harakati za Lissu, Lissu is half dead, ni kama simba aliyekoswa koswa risasi anaweza kufanya maajabu. Lissu siyo wa kutishiwa...
46 Reactions
81 Replies
11K Views
Kutenda kosa kwakuwa CCM inatenda kosa sio Kinga kwenye adhabu ya kosa ulilotena. Kama CCM na wagombea wake Kuna kosa la uchaguzi wanalitenda njia sahihi ya kwanza ni kupeleka Tume au kwa msajili...
1 Reactions
5 Replies
908 Views
YAH: Upendeleo wa wazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu huu na kutumika kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa Ndugu Mwenyekiti, wakati Taifa lingali...
16 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, Nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni Mstaafu, John Komba (CCM), yapigwa mnada. Nyumba hiyo ipo Kinondoni Maeneo ya Mbezi katika Jimbo la Kawe. Nyumba hiyo ipo katika kitalu namba...
3 Reactions
180 Replies
61K Views
Back
Top Bottom