Uchaguzi 2020 Nimefurahi sana Mke wa Lissu yuko vizuri mno kunadi CHADEMA kuliko mumewe Lisu, Chadema mpeni aongoze kampeni

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.

Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi

Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi. Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe mhutubiaji mkuu

Msikilize mwenyewe hapa akimwaga pointi mimi kama CCM nampongeza mno

Mkuu hili fukuto la Bashiru na PolePole limefikia wapi?..... Nasikia ni Balaaa. Hata salamu hamna! Kila moja anajionabora kwa Mkulu. Jana Zanzibar wamejaribu kusuluhishwa na Iddi Seif ila naona hali bado tete.

Pesa za kampeni hazijawahi mwacha mtu salama..... waliblock wengine kuwepo kwenye team. kumbe wanapiga pesa kwa kuviziana.
 
Mkuu hili fukuto la Bashiru na PolePole limefikia wapi?..... Nasikia ni Balaaa. Hata salamu hamna!...... Kila moja anajionabora kwa Mkulu. Jana Zanzibar wamejaribu kusuluhishwa na Iddi Seif ila naona hali bado tete.... Pesa za kampeni hazijawahi mwacha mtu salama..... waliblock wengine kuwepo kwenye team. kumbe wanapiga pesa kwa kuviziana.

Watatafutana tu. Kule hazina nako mtoto wa Dada naye haelewekieleweki.
 
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.

Kwanza katulia hasa.HIGHLY COMPOSED.Hana jazba na ana pointi..
Kwani huyu atakuwa anaweza kumfikia Mama jesca kweli?
 
Yule mwengine ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi vipi, mbona humpi sifa stahiki kama mke wa Lissu, au naye hawezi kujieleza kwa kiswahili kilichonyooka kama mumewe?
 
Mama ameshapewa ulinzi tayari 😁ahahahaaa 😁
Screenshot_20201003_075037.jpg
 
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.

Kwanza katulia hasa.HIGHLY COMPOSED.Hana jazba na ana pointi

Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi .Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe mhutubiaji mkuu

Msikilize mwenyewe hapa akimwaga pointi mimi kama CCM nampongeza mno

Huyu ni mama mwenye mahangaiko moyoni, uso usio na furaha. Ni matokeo ya ugumu wa kukubaliana na mtu mwenye kichwa kinachochemka bila sababu.
 
Maneno ya jpm ya ngono ngono yanamtia aibu sana mama Janet kwa kweli anaweza kujihis yupo uchi mbele ya kadamnasi
Yaani mume yuko jukwaani anatafutiwa vibinti na Kuwadi Kibajaji, yeye amejikunyata kwenye kiti?
 
Tukumpuke. Uchaguzi wa mwaka 2010, Mh. Kikwete alifanya kampeni za kuomba kura yeye na mke wake tu na alishinda. Mama Salma alikuwa vizuri sana katika kuomba kura kwa ajili ya mme wake.
Sasa tusimlinganishe Mke wa Tundu Lissu na Lissu mwenyewe bali tumlinganishe Mke wa Tundu Lissu na Mke wa Kikwete au Wake za magombea wa Urais wanaogomea sasa na Mke wa Tundu Lissu.
Mke wa Tundu Lissu ni Lissu mwenyewe kama imani za Dini zinavyosema. Ni mwili moja.
 
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.

Kwanza katulia hasa.HIGHLY COMPOSED.Hana jazba na ana pointi

Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi .Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe mhutubiaji mkuu

Msikilize mwenyewe hapa akimwaga pointi mimi kama CCM nampongeza mno

Anamzidi Janet?
 
Sasa mbona anaonekana kabisa ana busara kubwa sana na anayo hekima? Imekuwaje mume wake amejiingiza kwenye vitendo vya kutaka michezo ya kinyume na maumbile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom