Uchaguzi 2020 Upinzani hauwezi kuongezeka kwa kuwa CCM haina mgogoro wa ndani mwaka 2020

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema upinzani huwa hauongezeki, ukiona kitakwimu umeongezeka huwa inakuwa ni matokeo ya CCM wakiwa na mgogoro wa ndani

CCM wakiwa na mgogoro wa ndani ndio huamia vyama vingine kitu ambacho hufanya takwimu zioneshe kuwa upinzani umeongezeka

Anasema kwa awamu hii ya Dkt. Magufuli hakukuwa na nafasi ya kuwa na mgogoro wa ndani ya CCM , ndiyo maana mwaka huu 2020 upinzani haujaweza kuongezeka

Aliyasema hayo akiwa anajibu maswali ya Waandishi wa Habari alipokuwa akizungumza nao Zanzibar, Jana
 
Magufuli ushindi ni 98% yule mhubiri chuki atapigiwa kura na robert
 
Back
Top Bottom