Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi malalamiko dhidi ya CCM yanawafikia?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,829
Mabibi na mabwana heshima kwenu

Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi.

Mgombea wa tume ameendelea kutofuata ratiba za kampeni, Majaliwa naye anaendelea akitumia raslimali za Serikali, kuita wagombea wengine majina na kuwa ni vibaraka kunaendelea nk.

Malalamiko haya tume imeamua kuyadharau?

Kwa kufumbia macho malalamiko haya tume imeamua kujidhihirisha kuwa inaupendeleo wa wazi?

Kwa kufumbia macho malalamiko haya tume imeamua kujidhihirisha kuwa haiaminiki?

Tume ipalilieni vurugu kwa kujifanya viziwi.
 
Ccm inaheshimu sheria, ila Chadema inaanangamizwa na lissu kwa kujiona yeye anajua sheria kumbe hamna kitu
 
NEC ni CCM na CCM ni NEC.Tume ya Taifa ya uchaguzi ni mkono wa kulia wa Magufuli
JamiiForums2000245234.jpg
 
Ccm inaheshimu sheria, ila Chadema inaanangamizwa na lissu kwa kujiona yeye anajua sheria kumbe hamna kitu

Malalamiko yanayoelekezwa tume inayasikia yote au dhidi ya vyama fulani tu?

Malalamiko dhidi ya mtu au chama nani ana husika kuyajibu?

Nani kasikia majibu ya CCM au mgombea wao?
 
Anayeiua Chadema ni lissu mtalijua hilo muda si mwingi
Malalamiko yanayoelekezwa tume inayasikia yote au dhidi ya vyama fulani tu?

Malalamiko dhidi ya mtu au chama nani ana husika kuyajibu?

Nani kasikia majibu ya CCM au mgombea wao?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu

Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi.

Mgombea wa tume ameendelea kutofuata ratiba za kampeni, majaliwa naye anaendelea akitumia raslimali za serikali, kuita wagombea wengine majina na kuwa ni vibaraka kunaendelea nk.

Malalamiko haya tume imeamua kuyadharau?

Kwa kufumbia macho malalamiko haya tume imeamua kujidhihirisha kuwa inaupendeleo wa wazi?

Kwa kufumbia macho malalamiko haya tume imeamua kujidhihirisha kuwa haiaminiki?

Tume ipalilieni vurugu kwa kujifanya viziwi.
Tume ni ccm
 
Ccm inawanachama hai mlion 20 acha wafuasi na mashabiki

Chadema mna wanachama laki tano, huoni hata aibu kuisingizia Tume ya Uchaguzi ?

Mwalimu Nyerere alituachia Amani na amani inapatikana Ccm tu

Vyama vya upinzani vitaleta vita hatuwezi kuvichagua
Ukweli mchungu ni kwamba furaha yenu fake inayotokana na udhalimu wa tume yenu dhalimu haiwezi kudumu kwa sababu udhalimu haukuwahi kuishinda haki!
 
Ccm inawanachama hai mlion 20 acha wafuasi na mashabiki

Chadema mna wanachama laki tano, huoni hata aibu kuisingizia Tume ya Uchaguzi ?

Mwalimu Nyerere alituachia Amani na amani inapatikana Ccm tu

Vyama vya upinzani vitaleta vita hatuwezi kuvichagua
Udhalimu haukuwahi kuishinda haki.Hata udhalimu ukumbatiwe na watu billion moja na haki ikumbatiwe na mtu mmoja still haki itashinda.Daudi alikuwa mdogo sana na myonge sana ila aliliiua jitu kubwa na linalotisha tena kwa kutumia jiwe tu wakati jitu lile la kutisha lilikuwa na masilaha mengi na ya kutisha.

Kwa nini hii iliwezekana?Hii iliwezekana kwa sababu Daudi alikumbatia haki na jitu lile la kutisha na lenye silaha kali sana lilikumbatia uonevu na udhalimu kama vile ilivyo CCM na tume yake dhalimu pamoja na mamillion wanayoiunga mkono.Hakuna jinsi udhalimu unaweza kuishinda haki
 
Sasa mwenye haki ni nani ? Huyu anayepigania chapuo ushoga?

Kwahiyo ushoga sikuhizi ni haki ? Chadema maskini
Udhalimu haukuwahi kuishinda haki.Hata udhalimu ukumbatiwe na watu billion moja na haki ikumbatiwe na mtu mmoja still haki itashinda.Daudi alikuwa mdogo sana na myonge sana ila aliliiua jitu kubwa na linalotisha tena kwa kutumia jiwe tu wakati jitu lile la kutisha lilikuwa na masilaha mengi na ya kutisha.

Kwa nini hii iliwezekana?Hii iliwezekana kwa sababu Daudi alikumbatia haki na jitu lile la kutisha na lenye silaha kali sana lilikumbatia uonevu na udhalimu kama vile ilivyo CCM na tume yake dhaifu pamoja na mamillion wanayoiunga mkono.Hakuna jinsi ya kuishinda haki
 
Back
Top Bottom