Amani, Uhuru, haki na upendo ndio msingi wa Tanzania yetu tuliyo nayo sasa. Je kuna haja ya Mwenyekiti wa Chama cha siasa yeyote yule kuwaasa wafuasi wa chama chake wasichane mabango na kuwadhuru...
Wanabodi,
Ni dhahiri shahiri mikoa ya kusini ACT Wazalendo wanakitesa chama changu kwa hoja na makombora mazito ni kama wanatusambaratisha kabisa kwa kumtumia mbunge Bwege na mtu aitwaye...
Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake...
Kwa sasa anayeongea ni Rais Magufuli pia namuona Kikwete anaimbiwa wimbo wa kuzaliwa live.
Ukumbi umejaa marais wastaafu ni furaha hapa.
Mikataba kadhaa inatazamiwa kupitishwa.
Maendeleo hayana...
Ratiba yangu ya siku mbili ingekuwa hivi:
1. Soko la Samaki Feri
Chukua mwendokasi, tena anzia Mbezi, njoo nalo mpaka soko la samaki Feri, muda wa asubuhi ni mzuri zaidi maana utakutana na wateja...
Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila...
Wanachama wa CHADEMA katu hatutovunjika moto na kurudi nyuma ili kupigania haki yetu .
Kitendo cha kunyiwa uhuru na kufanywa mkombaniaji uraisi wetu Tundu Lissu jana kuzuiwa na jeshi la polisi...
Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
Leo Mh Tundu Lissu kawaambia watanzania na waandish wa Habari kuwa Serikali yake yeye italipanua jiji la Dar na kuhakikisha anaongeza usafiri wa Reli za umeme kwani Kujenga mabarabara tu haitoshi...
Akizungumza kutoka Ikulu amesema, "Nilimwambia Rais Magufuli kama inawezekana ningependa kushikilia koti lake tu ili anapokimbia aweze kunivuta nami niende haraka kwa kasi yake"
Rais Lazarus...
Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na...
UCHAGUZI 2020: UMUHIMU WA KUPIGA KURA KWENYE NCHI YA KIDEMOKRASIA
Katika Jamii ya Kidemokrasia ni muhimu kuhakikisha Serikali inafuata matakwa ya Watu na sio watu kulazimishwa kufuata matakwa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela.
Kina Mandela waliitwa...
Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila...
Kwa mujibu wa Tumaini Makene:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio...
Tangu kampeni za uchaguzi zianze mh Majaliwa amekuwa akitambulishwa kama PM (waziri mkuu) na mbunge. Bunge la Tanzania lilivunjwa na kutoa nafasi kuanza shughuli za uchaguzi mpya. Si mwerevu wa...
Wataalamu wawili wa masuala ya uongozi, Profesa Ronald Raggio na Dkt. Sherylle Tan wa chuo cha Claremont McKenna nchini Marekani, walipata kuhariri kitabu kiitwacho “Leader Interpersonal and...
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana...
Natamani vijana wangu wawe Kama nilivyo Mimi ila natamani zaidi wawe na spirit aliyonayo Salum Mwalimu.
Ni kijana wa miaka 40 lakini uwezo wake unawazidi vijana wengi wa Rika lake. Ni kijana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.