Uchaguzi 2020 CHADEMA mpeni Lissu nafasi zaidi kuongoza harakati za Uchaguzi huu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,840
35,844
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa kuisimamia haki vilivyo na kwa nguvu zetu zote.

Safari ya Mlandizi ilendelea si kwa sababu wajuvi wale hatimaye busara iliwarejea, bali waziwazi walitambua tulimaanisha biashara. Kwamba tulisimama kampeni kwa hukumu isiyokuwa ya haki? Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwetu.

Ni muhimu sana watambue hatutatambua tena haramu yoyote iwe ni nyama, hukumu, sheria, kanuni, taratibu au lolote. CHADEMA, mpeni Lissu nafasi zaidi ya kuamua way forward na kampeni hizi.

Hatukupaswa kuridhia kusimama kampeni kivile. Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Tulio tayari kuwa naye popote alipo (we mean it) hatuko wachache.

Habari hii na iwafikie wajuvi wote popote walipo.
 
Mambo mengi ambayo Tundu Lisu amezungumza, yamefanyiwa kazi..japo bado mengine Kama..

FAO la kujitoa

Shamba kagera

TRA

Mayanga construction

Mpwa mlipaji Mkuu

Hayo hayana ubishi mkuu.

Tundu kaonja kifo anafahamu kuwa haki haiombwi. Haki hudaiwa.

Ninasema kama shahidi niliyekuwa JKNIA na pia kiluvya jana.

Kusimamishwa kampeni ilikuwa batili kama alivyo kuwa kasema yeye, hakupaswa kusimama.

Kama kamati kuu CDM ilikuwa na nia ya kupima maji nadhani majibu wameyapata tusimame na haki zetu.

Basi hiyo na iwe basi kweli kweli
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa kuisimamia haki vilivyo na kwa nguvu zetu zote.

Safari ya Mlandizi ilendelea si kwa sababu wajuvi wale hatimaye busara iliwarejea, bali waziwazi walitambua tulimaanisha biashara. Kwamba tulisimama kampeni kwa hukumu isiyokuwa ya haki? Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwetu.

Ni muhimu sana watambue hatutatambua tena haramu yoyote iwe ni nyama, hukumu, sheria, kanuni, taratibu au lolote. CHADEMA, mpeni Lissu nafasi zaidi ya kuamua way forward na kampeni hizi.

Hatukupaswa kuridhia kusimama kampeni kivile. Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Tulio tayari kuwa naye popote alipo (we mean it) hatuko wachache.

Habari hii na iwafikie wajuvi wote popote walipo.
Amina
 
Hata mimi naona kaonja kifo 🚶
 
Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na Kanuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kwa unyonge hivyo? Mwaka huu si meko peke yake. Nyote ni vipara kwa kwenda mbele.
Mkuu Sina stress za maisha kiasi hicho.Lissu hana nafasi yoyote kwenye maisha yangu na hawezi kunisaidia kwa chochote kile,anachonizidi yeye ni uropokaji tu.
 
Mkuu Sina stress za maisha kiasi hicho.Lissu hana nafasi yoyote kwenye maisha yangu na hawezi kunisaidia kwa chochote kile,anachonizidi yeye ni uropokaji tu

Mkuu kuchagua maneno ni art.

"Sina stress", "maisha yangu", "kunisaidia", "anachonizidi" haaahaaa!

Kwani wewe nani?

Shule gani hizi zisizofundisha communication skills?
 
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...

Sent using Jamii Forums mobile app

His Excellency Chakwera has got enough tales to take with him to Lilongwe.

Hiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom