Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi kama kawaida yangu, principle yangu ni kusema kweli daima, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, na kwenye mapungufu, natoa mapendekezo, ila pia...
MEMBE, ACT WAZALENDO KUKATA PUMZI KAMPENI NA UNAFIKI WA ZITTO
Na Mwamba wa Kaskazini
Jana au juzi nimesoma andiko la vijana wa ACT wakiuliza swali muhimu sana ambalo naona limeibua mambo ndani...
Wazo hili limenijia baada ya kutoka Ibadani pale katika Huduma ya " Hakuna Lisilowezekana" inayoongozwa na Askofu Gamanywa.
Tulipokumbushwa lile neno la Bwana Yesu pale msalabani aliposema " Baba...
Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza...
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani...
Habari wana JF,
Leo numepita mitaa kadhaa ya jimbo la ukonga, nikashanga kukuta magreda yakifukia mashimo na makorongo barabarani hadi usiku.
Nikauliza kulukoni mbona miaka na miaka wananchi wa...
Na Bwanku M Bwanku
Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla...
NITAWAUNGANISHA WATANZANIA WOTE" PROF. LIPUMBA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
NITABORESHA KILIMO CHA TANGAWIZI "PROF. LIPUMBA"
SAME MASHARIKI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais...
Movie ilanza steringi alitoka kazini na dereva wake, alipofika maeneo ya nyumbai akashambuliwa na maadui kwa kila Aina ya silaha.
Maadui wakakimbia wakajua wamemuua, wamemaliza.
Wakaenda kwenye...
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli.
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya...
"Uchaguzi huu nimeamua kutolalamika, Wahuni tutamalizana nao kihuni haitojalisha cheo alichonacho...Ili Uchaguzi uwe huru na Haki lazima kuheshimu maamuzi ya Wananchi tofauti na hapo ni Uhuni tu...
Mimi nipo Kisarawe kwa muda kesho alfajiri nitaanza safari na baiskeli yangu aina ya Swala ambayo niliinunua mwaka 1987. Nakuja mpaka uwanja wa BWM. Kwa nia moja tu kusherehekea mafanikio ya CCM...
SISI NI MASHAHIDI, TUTAPIGA KURA KUMCHAGUA TENA
1. JPM alipotangaza kufufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua Ndege mpya kwa ajili ya usafiri wa anga tulikua hapa #FikraHuru tukicheka...
Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife.
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za...
Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani.
Rais Magufuli ameahidi...
Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia katika kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri.
1. Aliemshauri Lissu kuwa...
Nikiri wazi Tanzania haitakaa ipate Kiongozi wa kaliba kama ya Dr John Magufuli.
Tunabweka bweka tu ooh sijui nini sijui nini.ila tuseme tu Itatuchukua Miaka 100 kuja kumpata kiongozi mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.