Wataalamu wawili wa masuala ya uongozi, Profesa Ronald Raggio na Dkt. Sherylle Tan wa chuo cha Claremont McKenna nchini Marekani, walipata kuhariri kitabu kiitwacho “Leader Interpersonal and...
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana...
Natamani vijana wangu wawe Kama nilivyo Mimi ila natamani zaidi wawe na spirit aliyonayo Salum Mwalimu.
Ni kijana wa miaka 40 lakini uwezo wake unawazidi vijana wengi wa Rika lake. Ni kijana wa...
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa...
Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watambue umuhimu wa kura zao watakapokuwa wanachagua viongozi Oktoba 28, mwaka...
Salamu (Maendeleo Hayana Chama)
Nimekuwa mfuatiliaji kindaki ndaki wa Uchaguzi huu wa Twenty-twenty kwa kila Mgombea anaewania kiti hiki pendwa cha Urais(Hii ofisi imeonekana kila mtu...
Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.
Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi...
Nimeona Leo mgombea ubunge jimbo la Kaliua ndugu Aloice Kwezi gari la matangazo wanasema na wasanii watakuwepo FM. Akademia tena huku ni vijijini ambako mmekuwa mkijinasibu ndio kura zenu zipo...
Polisi waamua kukesha na msafara wa Lissu
Jeshi la polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu kwani ni moja ya kazi...
Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee
27th Julai 2020
KWA
KATIBU MKUU (CCM )TAIFA
NAKALA KWA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA ,
KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI,
KATIBU...
WANAHARAKATI wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wamewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuwa na ajenda ya kupambana na vitendo hivyo ili kuhakikisha wanawake na...
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patribas Katambi amechukuwa form kuwania kiti cha ubunge shinyanga mjini , patrobas katambi amekuwa mtiania wa 49 shinyanga mjini huku wanaitajwa kuwa na...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema mahakama imejipanga kushughulikia kesi za uchaguzi, endapo zitafunguliwa baada ya uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 28, mwaka huu...
1. Hotuba ya kwanza ni ya Obama mwaka 2004 akiwa ni "kijana" mdogo tu wa miaka 40, aliyoitoa katika mkutano mkuu wa Democrats (Democrats convention) kumpitisha Mgombea urais kwa tiketi ya chama...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliyapitisha majina matatu kati ya wachukua fomu takribani saba waliogombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali...
..Huyu dogo amejizolea umaarufu mkubwa tangu achaguliwe.
..hapa msikilizeni ktk mahojiano aliyofanya na Coconut Digital Tv.
..fuata link hii:video: jee ni vyema tususie kura ya maoni ya katiba...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa afya , nami ni mzima kabisa .
Naomba kuzama ndani ya hoja yangu juu ya Mgombea wa CHADEMA na ACT-Wazalendo mheshimiwa sana na mwenye ilimu kuwaliko...
Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA....
TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI?
Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.