Uchaguzi 2020 Lissu, je wananchi wa vijijini watazitumia hizo reli unazotaka kuzijenga Dar?

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Leo Mh Tundu Lissu kawaambia watanzania na waandish wa Habari kuwa Serikali yake yeye italipanua jiji la Dar na kuhakikisha anaongeza usafiri wa Reli za umeme kwani Kujenga mabarabara tu haitoshi pia anaongeza mabas ya Mwendokasi na kuupanua Mkoa wa Dar

Pia kasema Dar es salaam nzima haina sehemu ambayo watu wanaweza kwenda kupumzika na kusema kua serikal yake lazima itafanya ayo

Tundu Lissu amekuwa akipiga kelele juu ya Miundombinu inayo jengwa Dar na kusema kua vitu ivyo havimfaidishi mtu wa kijijini na kusema kua je Watu watakula Madaraja? Au watakula ndege. Na mimi pia ningependa kumuuliza izo Treni atazo jenga zitamsaidia nini mtu alie kijijini??

Pia maendeleo sio vitu ni watu kua na hela so izo Treni ni nini?

Tundu Lissu anasema Dar hakuna sehemu ya kupumzikia je ni kweli?

Au Tundulisu ni Mtu anae taka kuiongoza nchi asio ijua?

Leo Mh Tundulisu kawaambia Watanzania na waandish wa Habar kua Serikal yake yeye italipanua jiji la Dar na kuakikisha Anaongeza usafir wa Reli za umeme kwani Kujenga Mabara Bara tu Haitosh pia Anaongeza Mabas ya Mwendokas na kuupanua Mkoa wa Dar...
Lissu ameanza kuona maana na tafsiri sahihi ya maendeleo kuwa ni "vitu" siyo tu vinachochea maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja lakini pia ni kipimo cha maendeleo. Maskini hana vitu, lakini anakuwa tajiri moyoni.

Hivyo basi, Sera ya Chama chake ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ni nadharia tu ya wasomi. HAPENDWI MTU ILA POCHI TU (kwa maana ya vitu), wahenga walinena
 
Naunga mkono mawazo ya mh.Lissu,kuboresha jiji la dsm inaitajika kiongozi mwenye exposure! Halmashauli za manispaa na jiji zikirudishiwa vyanzo vyao vya mapato vilivyoporwa na serikali ya awamu ya tano!! Na mapato hayo yakasimamiwa vyema yanatosha kabisa kubadilisha jiji la dsm.
 
Lissu ameanza kuona maana na tafsiri sahihi ya maendeleo kuwa ni "vitu" siyo tu vinachochea maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja lakini pia ni kipimo cha maendeleo. Maskini hana vitu, lakini anakuwa tajiri moyoni.

Hivyo basi, Sera ya Chama chake ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ni nadharia tu ya wasomi. HAPENDWI MTU ILA POCHI TU (kwa maana ya vitu), wahenga walinena

Kunatakiwa kuwe na BALANCE kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu.

Pia maendeleo ya vitu yazingatie mahitaji ya watu, na yawe shirikishi.

Kwa mfano, huwezi kuwajengea wananchi wa Chato uwanja wa ndege wa kimataifa wakati hitaji lao ni maji, zahanati, madawati,na pembejeo.

Huwezi kuleta maendeleo ya vitu huku ukinyima wananchi / walipakodi haki zao za msingi kwa mfano, kutowapandisha watumishi wa umma mishahara, kuwadhulumu wakulima korosho zao, kuwatoza wanawake wanaojifungua ada ya kujifungua, kuwalazimisha wamachinga kununua vitambulisho, na dhuluma nyingine nyingi.

Zaidi kuna umuhimu wa kuwapa wananchi mamlaka makubwa zaidi ya waliyonayo sasa hivi ktk kuamua mambo yao ya kimaendeleo. Utaratibu uliopo umempa Raisi madaraka makubwa kupita kiasi na kuwafanya wananchi wawe ombaomba kwa Raisi.
 
Ulipozungumzia Balance kati ya Maendeleo ya Vitu na Maendeleo ya watu atleast kidogo nimekuelewa.

Tatizo Viongozi wa CHADEMA wanazungumza "Maendeleo ya watu" huku wakipinga Maendeleo ya Vitu.

Kama unaweza,Ukipata nafasi Gombea hata Ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA,Hakika utashinda.(Have my words).

Lakini kwa hawa viongozi waliopo sasa...aisee sioni hata wa kumpa kura.

Sorry if you are non-partisan!
 
Lakini TL anaielezea kwanza imbalance iliyopo.

Halafu anapendekeza miradi na miundombinu inayowagusa wananchi.

Pia anazungumzia jinsi ya kuinua hali ya uchumi na kipato ya mwananchi mmoja mmoja.

CCM wanapenda siasa za kulisha wenzao maneno na kuwachafua. yeyote anayetofautiana na CCM lazima wamchafue.

Kinachoendelea hapa ni jitihada za CCM kumchafua TL ili aonekane hafai.
 
Leo Mh Tundulisu kawaambia Watanzania na waandish wa Habar kua Serikal yake yeye italipanua jiji la Dar na kuakikisha Anaongeza usafir wa Reli za umeme kwani Kujenga Mabara Bara tu Haitosh pia Anaongeza Mabas ya Mwendokas na kuupanua Mkoa wa Dar...
Kwani Dar ni kijijini? kweli Huyu ni Tundu akili ikishamwagikia
 
..lakini TL anaielezea kwanza imbalance iliyopo.

..halafu anapendekeza miradi na miundombinu inayowagusa wananchi.

..pia anazungumzia jinsi ya kuinua hali ya uchumi na kipato ya mwananchi mmoja mmoja.

..ccm wanapenda siasa za kulisha wenzao maneno na kuwachafua. yeyote anayetofautiana na ccm lazima wamchafue.

..kinachoendelea hapa ni jitihada za ccm kumchafua TL ili aonekane hafai.
Ukiniambia T. Lissu baada ya kulipata hili ataeleza nitakuelewa.

Lakini hapo awali hakuthubutu kabisa kulizungumzia hili kwa Mlengo huu.

1.Kuhusu Ujenzi wa miundo mbinu T.Lissu bado yupo gizani.

CHADEMA tusubiri atakae kuja Labda atatufaa ila sio huyu.
 
Dar inahitaji miundo mbinu ya reli pia Dar inahitaji maeneo ya kupumzikia yale maeneo ya wazi mengi yamevamiwa hata watoto na vijana wamekosa maeneo ya kuchezea matokeo yake wanajiingiza kwenye mambo yasiyofaa
 
Kunatakiwa kuwe na BALANCE kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu.

Pia maendeleo ya vitu yazingatie mahitaji ya watu, na yawe shirikishi.

Kwa mfano, huwezi kuwajengea wananchi wa Chato uwanja wa ndege wa kimataifa wakati hitaji lao ni maji, zahanati, madawati,na pembejeo.

Huwezi kuleta maendeleo ya vitu huku ukinyima wananchi / walipakodi haki zao za msingi kwa mfano, kutowapandisha watumishi wa umma mishahara, kuwadhulumu wakulima korosho zao, kuwatoza wanawake wanaojifungua ada ya kujifungua, kuwalazimisha wamachinga kununua vitambulisho, na dhuluma nyingine nyingi.

Zaidi kuna umuhimu wa kuwapa wananchi mamlaka makubwa zaidi ya waliyonayo sasa hivi ktk kuamua mambo yao ya kimaendeleo. Utaratibu uliopo umempa Raisi madaraka makubwa kupita kiasi na kuwafanya wananchi wawe ombaomba kwa Raisi.
"Joka" in his best elements!
 
Kila sehemu inamahitaji yake muhimu Kama dar hitaji lake ni hilo linatakiwa lifanywe wakati na wananchi wanapewa welfare hata mfanyabiashara akiwa anainua uchumi wa biashara yake hatakiwa asiwajali wafanyakazi wake, na huko kijijini pia Kuna mahitaji yao muhimu yafanywe huku wanakijiji nawatengewa maeneo ya kilimo na kufuga, maji, umeme, na mahitaji ya muhimu ya eneo husika ili wafurahi na kula mema ya nchi hayo ndo maendeleo ya watu, yaani Kuna kazi za serikali ambazo ni lazima huku unaangalia watu Kama wanamudu kupata pato lililowekwa kimataifa.
 
Kunatakiwa kuwe na BALANCE kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu.

Pia maendeleo ya vitu yazingatie mahitaji ya watu, na yawe shirikishi.

Kwa mfano, huwezi kuwajengea wananchi wa Chato uwanja wa ndege wa kimataifa wakati hitaji lao ni maji, zahanati, madawati,na pembejeo.

Huwezi kuleta maendeleo ya vitu huku ukinyima wananchi / walipakodi haki zao za msingi kwa mfano, kutowapandisha watumishi wa umma mishahara, kuwadhulumu wakulima korosho zao, kuwatoza wanawake wanaojifungua ada ya kujifungua, kuwalazimisha wamachinga kununua vitambulisho, na dhuluma nyingine nyingi.

Zaidi kuna umuhimu wa kuwapa wananchi mamlaka makubwa zaidi ya waliyonayo sasa hivi ktk kuamua mambo yao ya kimaendeleo. Utaratibu uliopo umempa Raisi madaraka makubwa kupita kiasi na kuwafanya wananchi wawe ombaomba kwa Raisi.
Laa Haswa(¬_¬)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom