BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.
Kwa mfano CCM na ACT Wazalendo wameweka...
Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha...
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano...
Katika muendelezo wa hali inayoonyesha kuwasikitisha sana wananchi juu ya uonevu na unyanyaswaji wa dhahiri anaofanyiwa mheshimiwa Lissu nchini. Baada ya Ndugu Lissu kuzuiliwa kuendelea na safari...
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake...
Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.
Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa...
Ndugu zangu wana jf naomba niende kwenye hoja yangu,maana ninapatwa na hisia yakuwa endapo nitatoa pole dhidi ya corona nitafanya wasomaji wahamaki stoi pole mie natoa pongezi kwa wote mlio pata...
Ilani ya chama cha siasa
Ni mwongozo na mkataba kati ya chama cha siasa na wapiga kura Kwamba chama cha kisiasa kinamwahidi mpiga kura mambo kitakachomfanyia kama kikipata ridhaa yake kupitia...
Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka...
Mara nyingi sana umekuwa ukijinasibu kwamba Jeshi la Polisi linafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na Polisi hawana chama cha siasa. Mimi nakubaliana na wewe kwa sababu ni maandiko na maelekezo...
UJIO wa Profesa Kitila Mkumbo katika siasa za Dar es Salaam umeleta nguvu mpya na msisimko katika siasa za Mji Mkuu wa zamani wa Tanzania.
Kwa takribani miaka 15 sasa, Dar es Salaam ilikuwa na...
Salaam Wakuu,
Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea.
======
UPDATES:
1048HRS: Kwa sasa ni...
Kuna mengi sana ambayo Huenda yalifanyika kwa kujiamini kuwa utawala utaendelea miaka yote kwa hiyo hamna shida, kifo tu ndio huwa hakimjulishi mwanadamu kuwa siku yako yaja, ila wale ambao ni wa...
Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa.
Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya...
Mama Panya aliona mtego wa panya uliotegwa na binadamu, alisononeka sana kwa sababu ya mtego ule uliokuwa unatishia kuangamiza maisha yake na watoto wake.
Alimfuata Jogoo, akamuomba amsaidie...
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea...
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja...
Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe?
Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera...
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona.
Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo...
Tanzania opposition leader says facing repression as elections near
By Reuters Staff
4 MIN READ
NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.