Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,041
- 2,000
Amani, Uhuru, haki na upendo ndio msingi wa Tanzania yetu tuliyo nayo sasa. Je kuna haja ya Mwenyekiti wa Chama cha siasa yeyote yule kuwaasa wafuasi wa chama chake wasichane mabango na kuwadhuru wengine? Kama hakuna haja, je kitakacho endelea itakuwa ni miongoni mwa maagizo kutoka kwake? Au ameyafumbia macho kwa kuwa ni sehemu ya kumsaidia yeye. Haya ni maoni binafsi na wazo binafsi tu. Hakuna haja ya sisi na viongozi wetu kuambulia restrictions.
