Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo.
Wawe na tallying center zaidi ya moja...
Ukiona watu walivyofurahi mwishoni mwa hotuba ya Mgombea mwenza wa Nafasi ya urais kwa tiketi ya CHADEMA unapata hisia za matumaini ya ukombozi wa watu toka makucha ya CCM.
Habari wana JF, poleni kwa majukumu.
Leo ningependa kuzungumzia jambo ambalo kwa hakika limeniweka njia panda. Tunajua uchaguzi na mambo yote kuhusu uchaguzi kwa sasa yapo moto kwa kuwa...
Wakuu miaka ya nyuma kidogo kunako Timu ya Taifa ya Brazil Almaarufu wapiga samba kulitengenezwa kilichokuja kuwa moja ya kombinesheni hatari, makini na kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa...
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema...
Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama...
Ndugu zangu,
Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na...
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa Tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.
Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa...
Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini...
Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo...
Ukipita mtandaoni kwenye kurasa zinazoendeshwa na vyama vya upinzani katika kipindi hiki cha kampeni, utaona mambo makubwa mawili.
Jambo la kwanza utaona majigambo kwamba wanapendwa na kila mtu...
UONGOZI WA RAIS MAGUFULI UMELETA UWIANO KATI YA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA HUDUMA ZA JAMII
Ni habari njema katika utekelezaji wa sera za maendeleo ya Taifa pale nchi yetu ya Tanzania inapoingia...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar.
Amesema ili...
Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Tumekuwa...
Dalili za mvua ni mawingu,kuwa CHADEMA haitaweza kupata wabunge zaidi ya watatu,maana kisiasa wamekabwa kila kona.
Mwaka 2015 ni muungano wa Ukawa ndio uliwasaidia wakapata wabunge wengi.
Mwaka...
Kwa mujibu wa Ofisa wa NEC amesema kuwa Lissu kazuiwa kufanya kampeni lakini hajazuiwa kazi za chama.
Anaruhusiwa kufanya shughuli za Chama isipokuwa kufanya kampeni za urais, Ubunge na udiwani...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia SAU, Muttamega Mgaywa, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, atakuwa mstari wa mbele kulinda amani iliyopo...
Na Shilatu, E.J
Matendo anayoyafanya Mgombea anayeitwa Tundu Lissu si mapya, yalikuwepo na waliyoyafanya waliishiwa kupata kichapo kikali.
Ngoja nimkumbushe kidogo. Kama suala la wafuasi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.