Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura.
CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa...
Wanabodi,
Niko hapa mjini Dodoma, Waziri wa Uchukuzi Mhe. Omar Nundu, anafanya Press Conference saa hizi hapa Dodoma Hotel na amefunguka vilivyo ikiwemo hoja ya kujizulu!.
Amesema yeye ajiuzulu...
Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona.
Utafiti...
Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo...
Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar, Jaji Mshibe Ali Bakari amesema bado jamii haijabadilika na inahitajika elimu ya kutosha ili kutokomeza vitendo vya udhalilishaji dhidi ya watoto...
Watanzania tumeendelea kuishi maisha ya kutojua kesho yetu kwa zaidi ya miaka 59 ya uhuru.
Barabara mbovu sana hasa huku kwetu vijijini,maji taabu sana huku vijijini,dawa hakuna, shule ndiyo...
Kuna tatizo kubwa lipo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Mh.Boniface Jacob.
Siasa za upinzani sio za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, lakini anachofanya huyu kitapelekea tatizo kubwa kwa...
Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi.
Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya...
Deogratias Mutungi
Bwana Tundu Lissu mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anajenga hoja na ana hoja pindi anapokuwa jukwaani akinadi ilani ya chama chake, lakini hulka binafsi ya...
Mara nyingi naegemea Upinzani Ila leo nawapongeza CCM kwa walivyoanza kampeni zao. Hawajawashambulia Wapinzani kwa kejeli au matusi kama ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo Lowassa alitukanwa sana kuhusu...
Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda.
Watu hawa wanashindana ili...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa...
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.
Kiingereza...
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao.
Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia...
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha...
Nimepitia hizi picha zinazodaiwa kuwa huu ndio mkataba wa makubaliano ya muungano wa tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na shekhe Abeid Amani karume umejaa mambo muhimu na yamsingi na...
Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kampeni zinazofanywa na mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Hussein Ali Mwinyi za...
Akiwa anawahutubia wanasheria kutoka Nchi mbalimbali za Africa, Mh Jk amewaambia wanasheria hao wahoji mahakama hiyo kuwa ni kwa nini wengi wanaoshitakiwa ktk Mahakama hiyo ni Waafrica?.
Mimi...