Kwa ufupi kabisa,
Nihsuri yafuatayo kwa uongozi juu wa CHADEMA kwa ujumla.
1. RC Makonda ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar es salaam ambapo Ben alitoweka na ndio...
Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.
Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa...
Mzee Mtei ametoa pongezi na kusema, Rais Magufuli ni kiongozi ambaye ameyatoa maisha yake ili kupambana kikamilifu na changamoto na pia matatizo ya Taifa yaliyosababishwa na uongozi mbovu katika...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaonya baadhi ya wanasiasa nchini kuacha kuwatumia vibaya wananchi hususan vijana hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea kwenye uchaguzi...
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA: Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi huru na yenye haki. Nchi ambayo hakuna kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu.
Amesema kia mtu anahitaji haki na kila mtu...
Tukiwa tunajiandaa kuchagua viongozi wetu wa kutuwakilisha bungeni awamu ijayo, tunatakiwa kutafakari baadhi ya matukio yaliyotokea Bunge la awamu inayomaliza muda wake.
Huu ndyo muda wetu sisi...
Mwanasiasa kijana ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye nyota yake iko juu Ben Saanane amelitaka Baraza la vijana CHADEMA BAVICHA kuwafukuza waasi wote wanatumiwa kukihujumu...
Mh Tundu lissu
Amekuwa akitukosesha mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .
1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliuewatoa wabunge nje ;C.C.M wakapitisha mjadala wa katiba matokeo...
Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.
Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover...
Hatimaye zimebaki wiki mbili kufika tarehe 28 twende tukapige kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Siku hiyo ni siku ya muhimu sana kwa watanzania na inatupasa tuitumie vyema kuandika historia...
Naandika haya bila kuwa na ukada wa aina yoyote ile.
Kwa wadadisi wa mambo mtakuwa mmeshagundua kwamba uchaguzi wa mwaka huu ni vita. Vita kali sana kati ya TUNDU LISSU na JOHN MAGUFULI. Ni vita...
Watu wengi sasa wameona na wametofautisha ni wakati gani kati ya awamu hii na ile iliyopita ya KIKWETE ni wakati gani umasikini umekolea vzr na majibu yako wazi na yanajulikana wala hayahitaji mtu...
CHAMA Cha United Democratic Party (UDP), kimesema kuwa hakitakuwa na mikutano ya hadhara ya kampeni na badala yake watapita nyumba kwa nyumba kuwasilisha sera zao.
Hatua hiyo wamesema wanaifanya...
Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais...
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.
Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za...
CHAMA cha Tanzania Labor Party (TLP), kimeibuka na kusema kuwa bado kina nia ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao.
Kimesema Ofisi...
Kuna msemo wa wahenga usemao kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza......................
Kwa namna CCM ilivyosambaza mabango nchi nzima, wakati wapinzani wao wa kisiasa, vyama vya upinzani...
Habariiii
Ndugu wananchi ninaomba kushauri mambo yafuatayo kwa serikali kuanzia 2020-2025.
1.Iajiri maafsa wa kukusanya mapato wengi mpaka ngazi ya kata,kijiji na mtaa.Kazi yao kubwa itakuwa...
Semakafu awaonya wanaobeza elimu ya Tanzania
By Nazael Mkiramweni, Mwananchi nmkiramweni@mwananchi.co.tz
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Avemaria Semakafu
Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.