Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama...
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni...
Tanzania: Laws weaponized to undermine political and civil freedoms ahead of elections
12 October 2020, 11:19 UTC
Tanzanian President John Magufuli’s government has built up a formidable arsenal...
Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na...
Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza.
Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka
Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera,
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Dodoma,
YAH: KUENGULIWA...
Kama yupo anaetutakia amani na nchi yetu kwenye kipindi hiki basi atusaidie kuifanya Tume ya uchaguzi isiyumbishwe na wanasiasa wote.
Afande Sirro ni msomi sana na muelewa, Maaskofu na Masheikh...
======
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John...
"Tumevumilia sana, na IGP amevumilia sana, kuanzishwa sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’
Dkt...
Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
=========
Mgombea Urais wa Jamhuri ya...
Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala...
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja...
Leo nitazungumza sana siasa za Ubunge. Ukicheza vibaya hasa katika siku kumi za mwisho unaweza kuambulia 0 na ukicheza vizuri unaweza kushinda sana.
Siasa ni sawa na masomo ya darasani hasa kwa...
Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki...
Na; Makame Ali Makame
11/10/2020
Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi amebainisha mara kadhaa dhamira yake ya kulinda na kuheshimu Katiba yetu kama Mkataba maalum baina yake na wananchi wote...
Itifaki imezingatiwa,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekua nikijiuliza hili swali kwanini tusitumie simu zetu za mkononi kupiga kura, hii itaokoa muda , gharama na ile adha ya kuwataka watu...
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa...
Mhe. Ester Amos Bulaya (MB) Jimbo la Bunda Mjini ameteuliwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Awali nafasi hii ilikuwa ikiongozwa na mhe. Tundu Lissu mara baada ya kushambuliwa...
Habari wakuu,
Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki.
Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.