Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 22, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,163
  Likes Received: 1,098
  Trophy Points: 280
  Mh Tundu lissu

  Amekuwa akitukosesha mijadala yenye tija na Taifa kwa kuwatoa wabunge nje .

  1. Mjadala wa katiba- Yeye ndie aliuewatoa wabunge nje ;C.C.M wakapitisha mjadala wa katiba matokeo yake ni madudu ; Tume vijijini inapita Asubuhi kipindi watu wako mashambani matokeo yake ,watu wanashidwa kutoa maoni; tulitegemea haya yangejadiliwa na wabunge ambao wanayajua mazingara halisi.
  - Walitudanganya tungeandamana nchi nzima kupinga kamati ya maoni ya katiba lakini atujasikia mpk leo. wakati tume inaendelea ;
  - Mzee mtei katoa hoja ya kulalamikia wajumbe ,kuwa wengi ni Dini moja lkn sijasikia mbunge ata mmoja anatetea hoja hiyo , badala yake inaonekana hoja haina mashiko


  2. Bajeti ya ulinzi imepitishwa bila CDM - Badala ya kupeleka hoja za msingi mfano ; wakimbizi wanaotegemewa kusambazwa nchini na wanaotegemea kurudishwa kwao burundi , madhara wanayotuletea watu wa mipakani ;
  Nilitegemea wangetoa hoja ya kudai fidia kutoka serikali zao kuhusu uharibifu wa mazingira na watu wanauwawa bila hatia .

  Lakini Tundu lissu - aliandaa shutuma khs dkr ulimboka .ikakataliwa bajeti ya upinzani kusomwa.

  3 . bajeti ya wizara ya kilimo- imepitishwa bila CDM ;kuwepo bungeni-

  Hii ni baada ya kutoka nje kutokana na Ajali ya meli
  Wizara hii ina madudu mengi- Tulitegemewa wezi wa vocha za mbolea waliokamatwa wamefikishwa wapi;
  Kauli mbiu ya kilimo kwanza inatija kwa taifa?
  Tundu lissu - kwaondowa wabunge wa bara . ambao tunategemea 80% Kilimo , ndo wiazara mama'

  5.Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kuwa kauli iliyotolewa na mbunge wa sgd mashariki tundu lissu kuwa anakusudia kumshtaki rais bungeni ni yake binafsi na kwamba chama makini kama cdm hakiwezi kutoa msimamo huo mzito bila kufanya tafakuri makini.makam mwenyekiti wa chama said amour arfi ametoa kauli hiyo jana katika viwanja vya bunge mjini dodoma. Source nipashe ya leo

  6. Kaingiza chama gharama kesi ya Lema akijua wazi watashidwa . ili yeye aonekane

  Yapo mengi- asije akawa katumwa km MREMA ; Kwenye hoja za msingi anatuchanganya na vifungu vya sheria visivyo na tija kwetu.

  Wakati wa Mh Slaa- Haya mambo hayakuwepo; labda abadilishwe cheo . apewe mtu wenye maonao na Taifa

  7. Sera za Lissu zamwondoa diwani CHADEMA

  SERA ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), ya kukataza wananchi kuchangia maendeleo yao, imesababisha diwani wa chama hicho Kata ya Iseka, Amos Rubein Mughenyi, jimbo la Singida magharibi, kujiuzulu.

  Akitangaza uamuzi huo, kwa waandishi wa habari, Amosi alisema amejiuzulu nafasi ya udiwani huo kuanzia Desemba 21, mwaka jana.

  Alisema uamuzi wake, haujatokana na kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu au chama chochote cha siasa, bali umetokana na CHADEMA kumzuia kushirikiana na viongozi wa Serikali ngazi ya wilaya na mkoa kusimamia shughuli za maendeleo.

  Alisema amekuwa akishinikizwa asikubaliane na changizo (michango) ya aina yoyote ya maendeleo ya kata yake, kwa madai kuwa jukumu la kuwaletea maendeleo wakazi wa kata ya Iseka, ni la Serikali pekee.

  "Hivi sasa, Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Iseke (WDC), imeazimia kufanya harambee kwa ajili ya kutafuta fedha za ujenzi wa madarasa na maabara katika shule yetu ya sekondari. Tunapendekeza Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli awe mgeni rasmi katika harambee hiyo, CHADEMA wamenigomea," alisema Amosi.

  Alisema viongozi wa CHADEMA wilaya, wamemtaka akae pembeni asijihusishe na harambee hiyo na kama atalazimika kushiriki atajiondoa ndani ya chama.

  "Nimeamua kwa ridhaa yangu mwenyewe kujiuzulu wadhifa huu, ili wananchi wangu wawe huru kujipangia shughuli zao za maendeleo, bila kuzuiwa na itikadi ya CHADEMA," alisema Amosi.

  Amewaomba viongozi wa Serikali na hasa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Manju Msambya, kuendelea kuwaunga mkono wananchi wa Iseke ili wafanikishe harambee hiyo.

  Wakati huo huo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Illuminata Mwendwa, amekiri kupokea barua ya Amos kujiuzulu.

  Tundu Lissu mara kwa mara, amekuwa akiwaeleza wananchi wake watakuwa likizo ya kutochangia maendeleo hadi ubunge wake utakapokoma.


  8. Wakati Dr. Slaa katibu mkuu wa Chadema akidai mkanda ule umetengenezwa na Usalama wa Taifa na sio mkanda halisi wa Rwakatare Mkurungenzi wa Chadema wa Usalama, Mkuu wa Kitengo cha Sheria cha Chadema Tundu Lisu amekiri mara kadhaa kuwa ,mkanda ule ni wa kweli na kwamba aliyerekodi mkanda ule ni Ludovick na ameenda mbali kuwa anao ushahidi kuwa baada ya Ludovick kurekodi ule mkanda nyumbani kwa Rwakatare alitoka na kumpigia Ndg. Mwigulu Naibu Katibu Mkuu wa CCM.


  9. Lissu ambaye alikuwa ameamriwa kutoka nje na Naibu Spika, Job Ndugai baada ya kuingilia hotuba ya Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigulu Nchemba '''Wabunge watano wa Chadema jana walitimuliwa bungeni na kuamriwa kukaa nje ya Bunge kwa siku tano'''
   
 2. k

  kipuri Senior Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  R.B;

  Kweli: "Sio kila mwenye nywele anaweza kufikiri vizuri"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Ya kilimo haijapita,pia jana mdee alikuepo bungeni!umetumwa wewe huna akili
   
 4. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ujalipwa posho yako tangu lini? na kwanini unafikilia kwa masaburi, wizara hii imepitishwa na wewe na hawala yako......
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Werema (kichwa) chako hakifikiri na uboho wako una matatizo nenda hospitali
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  R.B = R.I.P ! Kweli wewe ni dead brain idiot. Duuuh. Loh
   
 7. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nlijua tu watakushambulia sana hapa'unawataja malaika wa CDM bado subiri madongo yanakuja
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  etieeee! Tumekusikia
   
 9. k

  kipuri Senior Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  halafu hawa ndio wanataka kupewa nchi, watu si watapigwa risasi hadharani kwa visasi
   
 10. B

  Bubona JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada ndio una lengo la kuivuruga CHADEMA kwa kupotosha!
  Never will you succeed!
   
 11. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  R.B;

  Mapenzi hayo na CDM umeanza lini?Cdm haiendeshwi kwa majungu. Mwambie aliyekutuma umeumbuka.
   
 12. h

  hacena JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  oh R.B, robot la Nape, du kweli nyinyim hakuna vichwa mpo kama mwigulu dead brain
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada hajui anacho kiongea kabisa!
   
 14. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole na weekendi,

  Inaelekea ilikuwa tamu sana kwako baada ya kukamata mshiko kutoka Lumumba. Ila tatizo umezila zikaisha ndio unakurupuka kuzitetea, ndio maana huna hata muda wa kufanya utafiti wa awali tu kabla ya kuandika. Hapo kwenye red:

  1- Kama utakumbuka vizuri baada ya Ujumbe wa Chadema kukutana na Raisi, Baadhi ya mambo yaliletwa tena bungeni kubadilishwa, hii ni kudhibitisha kuwa Maoni ya chadema yalifanyiwa kazi. Hata kama sio yote lakini ya msingi. pia ukumbuke chadema ni watu makini sio watu wa kutaka kila wanachotaka wao kiwe, wanatoa pia fursa kwa wengine nao kusikilizwa, na pia kukubaliana na maamuzi ya pamoja. Hivyo kuendelea na maandamano wakati mambo yameshafanyiwa kazi ni kuleta vurugu, Hilo sio lengo la chadema.

  2- Chadema hawafanyi kazi na mtu kwa sababu ya dini yake, wanafanya kazi na mtu kwa kuangalia uwezo, taaluma, nia njema, na uadilifu wake. Udini hapa unatoka wapi? unaweza kuthibitisha kuwa mtei alisema hivyo?

  3- Bajeti ya wizara ya kilimo bado haijapitishwa, ndo maana nasema umekurupuka kutetea posho bila kufanya hata utafiti.

  4-Wabunge wa chadema sio watoto wadogo wa kuburuzwa na Mh Lissu, ni watu wazima, wenye upeo wa kufikiri na maamuzi binafsi. kusema Lissu anawaambia watoke na wanatoka sio kweli.
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pole Mwigulu Nchemba leo umeumbuka.
   
 16. r

  roy allan Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona bajeti ya kilimo haijapitishwa idadi ya wabunge haijafkia nucu mwenzetu ww habari hizi umezipata wapi?
   
 17. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inaelekea huyu mtoa mada kaamka asubuhi kakuta miss kama tatu zafisadi aliemlipa jana kwakazi hii,sasa kabla hajajibu lolote kaona aweke thread kabisaaa!!Awe nalakujieleza!
   
 18. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,649
  Likes Received: 2,092
  Trophy Points: 280
  R.B

  UNISOME KWA MAKINI:
  1. kwenye kuptisha muswada wa mabadiliko ya katiba CDM hawakutoka.
  2. kwenye bajeti ya kilimo ya mwaka gani? manake ya sasa bado haijapita.

  * lakini naomba ufahamu hivi, CDM hutoka nje baada ya kuona hoja zao za msingi zimekataliwa na spika, na sio wakati wa kujadili hoja husika.
  * pia, kuwepo kwa CDM hakuwezi kuzuia bajeti kupita kutokana na mfumo unaotumika pale bungeni yaan vote by majority.
  na kwa taarifa yako maamuzi ya kutoka nje ya kumbe ni chama na sio ya MNADHIMU wake.
  * sasa niambie ni bajeti au hoja ya wizara ipi ambayo haikupita kwa sababu CDM hawakutoka nje (yaani walisikilizwa na haikupta)?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Tundu ana akili kuliko wengi hapa Tanzania when it comes to law issues, he is good by all standards!!!
   
 20. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  du kumbe kumekucha,wini joo ukachukue mkate hapo dukani kwa mangi.
   
Loading...