Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

PatriceLumumba

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
426
578
Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

Comrade mnaendeleaje na mvua hapo Dar?

Natumai fly over zimewasaidia mnoo kwenye hayo

Kwani nchi hii kuna flyover?
Msituchanganye wananchi hayo ni mavivuko tuu yanaitwa interchange
HABARI,
Jamaa
flyover, a bridge carrying one railway line or road over another.

Sasa wewe ukiamua kuita jina lako kama daraja sawa. Pili nimesema flyover kwakuwa yeye ndivyo alivyotamka.

LUMUMBA
 
Kama kweli hujammezesha maneno basi kakosea ila sijasikia popote akisema ivyo.

Pili, izo sio flyover ni interchange. Ungekuwa na exposure ungeweza tambua flyover ni nini!
HABARI,
Najua umenielewa vema na ujumbe umefika.Mzungu akikosea spelling mnapiga makofi mwafrica akikosea spelling mnamuona hana akili.

LUMUMBA
 
Kama Tundu lisu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

..alichokuwa anazungumzia ni IMBALANCE ya miradi ya miundombinu kati ya Dsm na Vijijini.

..Vijijini nako wanadai kwamba utajiri wao ndio unaoineemesha Dsm, hivyo na wao wanastahili kupelekewa miundombinu.

..Kuna tatizo kubwa sana na ubovu wa miundombinu kwa maeneo ya vijijini, na kauli ya Tundu Lissu ukitaka kuipima chunguza jinsi wananchi wa huko Singida na maeneo mengine walivyoipokea.

..Kwa upande mwingine, Tundu Lissu na Chadema wana maono tofauti kidogo kuhusu jinsi ya kuboresha sekta ya usafiri kwa jiji la Dsm. Kama umefuatilia ziara ya Tundu Lissu alipotumia mwendokasi utakuwa umesikia baadhi ya mipango ambayo wamelenga kuitekeleza kutatua tatizo la msongamano wa abiria ktk jiji Dsm.

cc Zero Hours
 
HABARI,
Jamaa
flyover.a bridge carrying one railway line or road over another.
Sasa wewe ukiamua kuita jina lako kama daraja sawa.Pili nimesema flyover kwakuwa yeye ndivyo alivyotamka.

LUMUMBA
Tatizo natumia simu ndogo
But maelezo yako yenyewe tu yanakubali kuwa flyover is road that passes above (along) anather road ila hii ya kwetu ni road across anather road just above it.

Hata jina la mkataba si linaonyesha name of project ni "ubungo exchange"
 
..Nadhani alichokuwa anazungumzia ni IMBALANCE ya miradi ya miundombinu kati ya Dsm na Vijijini.

..Vijijini nako wanadai kwamba utajiri wao ndio unaoineemesha Dsm, hivyo na wao wanastahili kupelekewa miundombinu.

..Kuna tatizo kubwa sana na ubovu wa miundombinu kwa maeneo ya vijijini, na kauli ya Tundu Lissu ukitaka kuipima chunguza jinsi wananchi wa huko Singida na maeneo mengine walivyoipokea.

..Kwa upande mwingine Tundu Lissu na Chadema wana maono tofauti kidogo kuhusu jinsi ya kuboresha sekta ya usafiri kwa jiji la Dsm. Kama umefuatilia ziara ya Tundu Lissu alipotumia mwendokasi utakuwa umesikia baadhi ya mipango ambayo wamelenga kuitekeleza kutatua tatizo la msongamano wa abiria ktk jiji Dsm.
HABARI,

JokaKuu

Nashukuru sana Joka kuu nimekuelewa ni kweli barabara nyingi za vijijini ni mbovu na ndiko vyakula na vinapotoka mimi nadhani Lissu angesema ataweka mkazo kwenye barabara za vijijini Lakini sio kusema zile barabara za juu ubungo asingejenga kwanza pale amejiharibia kwa wapigakura wa dar.
Lakini hata mwendo kasi kama kapanda pia akienda na hiyo dhana yake inamaana hata huo mradi wa mwendo kasi alio panda haukuwa na umuhimu kwa dar maana miradi yote hiyo ni kupunguza msongamano wa Dar.Ambako ndiko ukusanyaji mapato ya nchi makubwa yanatoka huo.
Uwezi kulikwepa jambo la kupunguza msongamano dar hata kidogo kwani hata hizo pesa za kujenga barabara za huko vijijini zitatoka kwa kiasi kikubwa na mapato ya Dar.

LUMUMBA
 
..alichokuwa anazungumzia ni IMBALANCE ya miradi ya miundombinu kati ya Dsm na Vijijini.

..Vijijini nako wanadai kwamba utajiri wao ndio unaoineemesha Dsm, hivyo na wao wanastahili kupelekewa miundombinu.

..Kuna tatizo kubwa sana na ubovu wa miundombinu kwa maeneo ya vijijini, na kauli ya Tundu Lissu ukitaka kuipima chunguza jinsi wananchi wa huko Singida na maeneo mengine walivyoipokea.

..Kwa upande mwingine, Tundu Lissu na Chadema wana maono tofauti kidogo kuhusu jinsi ya kuboresha sekta ya usafiri kwa jiji la Dsm. Kama umefuatilia ziara ya Tundu Lissu alipotumia mwendokasi utakuwa umesikia baadhi ya mipango ambayo wamelenga kuitekeleza kutatua tatizo la msongamano wa abiria ktk jiji Dsm.

cc Zero Hours
Heshima kwako platinum member unazungumza kiutu uzima zaidi, watu wengi wanazungumzia hoja za clip za Lissu zilizokatwakatwa kwa maslahi ya watu fulani.

Ushauri hebu waende kwenye mkutano wake wa kampeni wakasikilize
 
Comrade mnaendeleaje na mvua hapo Dar?

Natumai fly over zimewasaidia mnoo kwenye hayo mafuriko.
Mafuliko ni jamabo la mda lakini foleni ni la kila siku
Jitambue
..alichokuwa anazungumzia ni IMBALANCE ya miradi ya miundombinu kati ya Dsm na Vijijini.

..Vijijini nako wanadai kwamba utajiri wao ndio unaoineemesha Dsm, hivyo na wao wanastahili kupelekewa miundombinu.

..Kuna tatizo kubwa sana na ubovu wa miundombinu kwa maeneo ya vijijini, na kauli ya Tundu Lissu ukitaka kuipima chunguza jinsi wananchi wa huko Singida na maeneo mengine walivyoipokea.

..Kwa upande mwingine, Tundu Lissu na Chadema wana maono tofauti kidogo kuhusu jinsi ya kuboresha sekta ya usafiri kwa jiji la Dsm. Kama umefuatilia ziara ya Tundu Lissu alipotumia mwendokasi utakuwa umesikia baadhi ya mipango ambayo wamelenga kuitekeleza kutatua tatizo la msongamano wa abiria ktk jiji Dsm.

cc Zero Hours
Vijiji wanadai wao wamechangia shilingi ngapi kwenye hilo pato la taifa?

Na ndio maana anawambia ndege haziwasaidii lakini hasemi hizo hela za dawa na maji zinatokana na hizo ndege

Ninulaghai tu,

Hueezi kuacha kumlisha ng'ombe chakula kizuri ili atoe maziwa zaidi eti unanyima unapeleka kwa wasiotoa maziwa kisha huyu ng'ombe akikosa kabisa maziwa hata huyo wa kijijini hatapata hayo maziwa na atakufa tu.
 
Kama Tundu lisu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

Tatazi lako hutaki kuelewa uchaguzi wa 2020 hauzingatii ilani kuna kundi la jpm lenyewe hata ajenge asijenge wao watamchagua vile vile kundi la lisu ajenge asijenge watamchagua kila mtu ana jambo lake moyoni cha muhimu ni haki itendeke
 
Kama Tundu lisu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

Kabla hujaamua kuona umuhimu wa flyover jiulize kwa nini watu wanarundikana dar es salaamu?
Kama huko vijijini kuna zahanati au hospitali kubwa , barabara nzuri, maji, umeme reli za mwendo kasi, amini nakwambia hakuna watu wanaweza kurundikana na kuwekeza dar. Kwa hiyo ni swala la kipaumbele tu, usimbeze lisu wala usione magu kama vile yupo sahihi saaaaana
 
Kama Tundu lisu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

Ni kumuonea huruma tu.Usibishane na mgonjwa bado anatumia dawa
 
Back
Top Bottom