MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kwa ufupi kabisa,
Nihsuri yafuatayo kwa uongozi juu wa CHADEMA kwa ujumla.
1. RC Makonda ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar es salaam ambapo Ben alitoweka na ndio yalikua makazi yake, hivyo anayo sauti na mamlaka kubwa ya kuagiza vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya himaya yake kulitekeleza hilo as soon as possible.
2. Acheni vita ya kisiasa kubalini aliye juu yuko juu tu, kwani ndio watawala hakuna namna wanaweza kutumia rasilimali za kila aina kuhakikisha ndugu Ben anapatikana.
3. Kama RC Makonda aliahidi juzi kua msanii Roma atapatika kabla ya Jumapili na ikawa hivyo, binafsi sina shaka na hilo akiamua kufanya hivyo.
4. Huyu ndiye aina ya kiongozi aneyeonana kusikilizwa zaidi na serikali, hivyo akiomba lolote na linakuwa, kwahiyo akiomba na hili la kuonekana kwa ndugu Ben atafutwe ni imani yangu kua atspatikana.
5. Kama tutabaki kuendeleza siasa zetu za kupiga kelele juu ya uhai wa mtu basi ni bora wazazi wake Ben Saanane wafike ofisini kwa RC Makonda wakamwangukie awasaidi kwani amefanya hivyo kwa msanii ROMA.
6. Huyu anachapa kazi sana kama alivyoambiwa, hivyo kwa juhudi zake ni imani yangu kua ndugu Ben atapatikana tu.