Barua ya wazi kwa mheshimiwa Tundu Lissu namba mbili

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,006
2,000
Habari wana jamvi!

Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa nakuomba siku zilizo baki kila siku usikose kuyazungumzia masuala mtambuka yafuatayo kwani yanawagusa watanzania wote wa mjini na vijijini.Nitayabainisha kama ifuatavyo;

Mosi, Kwamba awamu ya tano imesababisa biashara nyingi kufungwa au kudorora kwasababu ya kodi nyingi zisizo lipika. Wafanya biashara hawana raha Nchini mwao na wengine wamepeleka biashara Nchi Jirani. Kodi zisizo lipika ni shida.

Pili, viwanda vingi vimekufa au kulazimika kufunga shughuli zake kwasababu ya mazingira magumu ya biashara.Morogoro peke yake viwanda vinne vilivyo kuwa viaajiri wafanyakazi zaidi ya 5000 vimefungwa. Kati ya hivyo viwili ni vya tumbaku. Kufungwa kwa viwanda vya tumbaku kumeathiri ununuzi wa zao la tumbaku Tabora na Ruvuma hivyo kuwasababishia watu wa maeneo hayo ugumu wa maisha kwasababu biashara ya zao la tumbaku imeharibika.

Tatu, dhiki ya mlo mmoja kwa siku imekuwa wimbo wa Taifa. Mijini tatizo hili ni kubwa kupindukia. Watu wanashindia mhogo Wa kuchoma na nyanya masaro wakisindikizia na maji mengi ya viroba. Maisha yamekuwa magumu kwelikweli. Hii imesababishwa na ukosefu Wa ajira kwa vijana, biashara kubwanwa, wakandarasi kuto kulipwa pesa, na wafanyakazi kutokuongezewa mishahara kwa muda wa miaka mitano.

Mwisho waombe watanzania wakapige kura tarehe 28.10.2020 na wazilinde. WAKUMBUSHE WATANZANIA KUWA HATA WALE AMBAO HAWAKWENDA KUBORESHA TAARIFA ZAO, MAJINA YAO YAPO KWENYE DAFTARI LA MPIGA KURA KWENYE VITUO VYAO VILE VILE VYA ZAMANI. Nakutakia Afya njema na kampeni kabambe za lala salama. Ni yeye 2020.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,100
2,000
Mkuu umeongea point tupu, shida ni NEC CCM haiwezi kumtangaza Mhe Lissu
 
DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,286
2,000
Kudos mleta mada. Pia Watanzania wauombee sana uchaguzi huu, Mapepo ya Ghamboshi yapo kazini.
 
Elicie

Member
Sep 26, 2020
43
125

Upo sahihi kabisa.Hapa tu familia yangu jana wamelala njaa na hadi muda huu sijui leo watakula nini.Hali ni mbaya utafikiri watu hatuna nguvu wala uwezo wa kufanya kazi.Inauma sana ninapowaangalia wanangu wamenyong"onyea kwa njaa.Hadi napoteza matumaini kabisa.
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,006
2,000
Upo sahihi kabisa.Hapa tu familia yangu jana wamelala njaa na hadi muda huu sijui leo watakula nini.Hali ni mbaya utafikiri watu hatuna nguvu wala uwezo wa kufanya kazi.Inauma sana ninapowaangalia wanangu wamenyong"onyea kwa njaa.Hadi napoteza matumaini kabisa.
Hakuna jambo linaniuma mimi binafsi kukuta watu wanateseka tu kwasababu wanasiasa wameamua kutufikisha hapa. Biashara haziendi, mahusiano yanaharibika kisa uchumi umeyumba. Maeneo mengi hotel kubwa zinafungwa na watu wamekosa ajira. Tumtose huyu Yona wa Tanzania, mambo yatabadilika.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
41,846
2,000
Mkuu umeongea point tupu, shida ni NEC CCM haiwezi kumtangaza Mhe Lissu

Machafuko yatapelekea kuheshimiana kwenye box la kura. Tukapige kura kwa wingi, yoyote atayecheza na maamuzi ya wananchi tukatae kwa njia za amani, au kinyume chake.
 
Chunda

Senior Member
Apr 7, 2016
188
500
Haijawahi kuwa kazi rahisi kuondoa utawala wa kidhalimu madarakani. Lakini wananchi kwa umoja wao wakisema sasa basi inawezekana ila kwa kukubali kupambana na hali itakayojitokeza. Wanaonufaika na mfumo watapambana sana lakini kwa nguvu ya umma watashindwa. Kama tunataka uhuru, haki na maendeleo nguvu ya umma itahitajika katika uchaguzi huu.
 
Ngatele

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
758
1,000
Kipindi hiki pia awaombe CCM kura zao na kuwaambia kuwa na wao wamepigika kipindi cha miaka 5 na hivyo wanahitaji UHURU, HAKI na MAENDELEO. Kwa viongozi kama Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wanasimamia uchaguzi, wamekuwa hawana uhakika na vyeo vyao, wakiishi kwa hofu ya kutumbuliwa hadharani mbele ya familia na jamaa zao.
 
Bhikalamba

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
1,042
2,000
Habari wana jamvi!

Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa nakuomba siku zilizo baki kila siku usikose kuyazungumzia masuala mtambuka yafuatayo kwani yanawagusa watanzania wote wa mjini na vijijini.Nitayabainisha kama ifuatavyo;

Mosi, Kwamba awamu ya tano imesababisa biashara nyingi kufungwa au kudorora kwasababu ya kodi nyingi zisizo lipika. Wafanya biashara hawana raha Nchini mwao na wengine wamepeleka biashara Nchi Jirani. Kodi zisizo lipika ni shida.

Pili, viwanda vingi vimekufa au kulazimika kufunga shughuli zake kwasababu ya mazingira magumu ya biashara.Morogoro peke yake viwanda vinne vilivyo kuwa viaajiri wafanyakazi zaidi ya 5000 vimefungwa. Kati ya hivyo viwili ni vya tumbaku. Kufungwa kwa viwanda vya tumbaku kumeathiri ununuzi wa zao la tumbaku Tabora na Ruvuma hivyo kuwasababishia watu wa maeneo hayo ugumu wa maisha kwasababu biashara ya zao la tumbaku imeharibika.

Tatu, dhiki ya mlo mmoja kwa siku imekuwa wimbo wa Taifa. Mijini tatizo hili ni kubwa kupindukia. Watu wanashindia mhogo Wa kuchoma na nyanya masaro wakisindikizia na maji mengi ya viroba. Maisha yamekuwa magumu kwelikweli. Hii imesababishwa na ukosefu Wa ajira kwa vijana, biashara kubwanwa, wakandarasi kuto kulipwa pesa, na wafanyakazi kutokuongezewa mishahara kwa muda wa miaka mitano.

Mwisho waombe watanzania wakapige kura tarehe 28.10.2020 na wazilinde. WAKUMBUSHE WATANZANIA KUWA HATA WALE AMBAO HAWAKWENDA KUBORESHA TAARIFA ZAO, MAJINA YAO YAPO KWENYE DAFTARI LA MPIGA KURA KWENYE VITUO VYAO VILE VILE VYA ZAMANI. Nakutakia Afya njema na kampeni kabambe za lala salama. Ni yeye 2020.
CC CHADEMA
Tumaini Makene
Chadema Diaspora
 
Feb 12, 2020
12
45

Umeeleza vyema kulingana na msimamo wako kisiasa, japo uliyoyaeleza pia hayana uhalisia kuhusu wafanya biashara wadogowadogo na bodaboda.
Wafanya biashara hapo awali walikuwa wanatoa sh 1000/= kila siku kama Kodi kwa maana hiyo kufikia 30000/=tsh kwa mwezi sawa na 360,000/=tsh kwa mwaka. Baada ya JPM kuingia yalitokea mapinduzi na kutengeneza vitambulisho ambapo mfanyabiashara analipa sh.20,000/= tu kwa mwaka mzima kama kodi.

Hoja namba mbili pia umeandika bila weledi, ungeandika vizuri zaidi kama ungetumia akili ukaweka pembeni hisia za kisiasa. Hivyo ungeandika uhalisia siyo propaganda. Uhalisia ni kuwa kwa muda wa Miaka mitano, baada ya mh JPM kuingia madarakani na sera yake ya 'HAPA KAZI TU". Hakujawahi kutokea janga lolote la njaa hii nikutokana na kuhimiza watu wawe waajibikaji na kuweka misingi ya taifa la watu wafanya kazi, lakini pia uongozi wa mikoa walichukua jukumu la kuhakikisha mikoa yao haina njaa. Huu ni mfumo bora wa utawala, mfumuko wa bei katika mazao ya chakula haupo hii ni nzuri kwa sababu inasaidia watu kupata chakula kwa bei rahisi. Japo inaweza kuwa siyo nzuri kwa upande wa wakulima!.

Kwa kukuongezea hoja nyingine.
Jambo ambalo kwa wazi na lenye uhalisia limeumiza watu wengi hasa sisi watu wa kipato cha chini ni Kupanda kwa bei ya sukari kutoka tsh 1500/= hadi 2800/=. Hili linaweza kuwa na manufaa kwa kuwezesha kuboresha na kukuza viwanda vya ndani kwa sababu ya ongezeko la mahitaji ya sukari, lakini viwanda vya ndani vimelemewa na mahitaji ya idadi kubwa ya watanzania hivyo kusababisha kuwa na upungufu na kupanda kwa bei. Hivyo basi serikali ili kutatua hili lazima waruhusu sukari kuingizwa ndani ya nchi kutoka nje ili kukidhi mahitaji.

Hivyo nakushauri mtoa maada utumie sawasawa akili zako, uache kuandika mambo yasiyo na weledi. Unakosa sifa ya Uzalendo na kuwa na sifa za "KIZANDIKI".
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom