Yuko wapi Bernard Membe?

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
KARIBU CCM KACHERO MBOBEZI, TAWI LA MKOMAMANGA, BERNARD KAMILIUS MEMBE

Leo 11:55hrs 17/10/2020

Yuko wapi Bernard Membe? Je, bado anasubiri "Tsunami ya vigogo" na wanachama wapya toka mikoa ya Lindi, Mtwara, wanaokuja kunogesha kampeni za ACT pamoja nae? Wako wapi watu waliosema wako nyuma yake? Kachero anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia,uenda hakukuwa na watu nyuma yake. Si ajabu walikuwa ni vivuli vya tawi lake la mkomamanga na yeye akadhani ni watu,Kachero kapotea hata kampeni hazijafika muda wake wa kuisha.

The question is: Kachero mbobezi alifanya Assessment ya situation on the ground?

Bernard Membe hana hamu tena na Zitto aliye ahidi atapambana nae kwenye jua na mvua ajabu baada ya kuona mambo sio mazuri Zitto huyo huyo ndio wa kwanza kumkana. Ama kweli “there are no permanent friends in politics, only permanent interest”.Naamini Kachero Mbobezi, Bernard Membe ataweka maslahi ya Taifa mbele siyo yake binafsi,hakuna maslahi makubwa kwa nchi zaidi ya kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli kumpigia kura Ndugu John Pombe Magufuli kurudi madarakani october 28.

Ndugu John Magufuli ndiye alama ya maendeleo ya kweli nchini hususani kwenye suala la kuikomboa Tanzania kiuchumi,Naamini Kachero Mbobezi,Bernard Membe uko behind the scene unafanya juhudi zote kurudisha Madarakani chama ca Watanzania,Chama Cha Mapinduzi na sio Sacco's na NGO za kina Mbowe na Zitto,naamini unafanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa sana,Kachero Mbobezi ni jasusi aliyetoka katika kitengo cha usalama muda mrefu sana katika awamu ya Julius Nyerere uko nyuma,Ni yeye Kachero Mbobezi aliyebaki active,ingawa watu wengi wamepita na mifumo mingi imebadilika wengi wakiwa hawana tena mizizi uko usalama wa taifa,wengine wakibaki na CV tu,japo wakihitajika kutoa ushirikiano wa jambo fulani,lazima watoe,

Kwa mifano michache, Rais John Magufuli ni Rais pekee Afrika, kama sio dunia nzima:

1-Amebadilisha jinsi wanasiasa wanavyopaswa kufanya siasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla,Ameondokana na siasa za majukwaani zenye lugha ya ulaghai, propaganda na kutafuta umaarufu,na kuwa Mtendaji zaidi ya mwanasiasa.

2-Amejenga nidhamu kwa watendaji wa Serikali na taasisi zake ambao waliendekeza,uzembe kazini,Ufisadi, urasimu na umangimeza, wakifanya ofisi za umma mali zao binafsi,

3-Rais John Magufuli ametafsiri Siasa ya Ujamaa na kujitegemea kwa vitendo,na kuendana na falsafa ya Mwalimu Julius Nyerere, kujenga miundo mbinu ya Umeme ili tuweze kujitegemea kwa kuanzisha Viwanda, kuzalisha bidhaa zetu toka kwenye Malighafi za kilimo chetu, na kuzalisha ajira kutoka viwandani.

-Tamko la Zitto Kabwe kutompigia kura Bernard Membe

Bernard Membe hana hamu tena na Zitto Kabwe aliye ahidi atapambana nae kwenye jua na mvua ajabu baada ya kuona mambo sio mazuri Zitto huyo huyo ndio wa kwanza kumkana,Kwa nini Membe hazunguki kufanya kampeni? Membe yupo wapi? Kwa nini Membe wasimpandishe jukwaani akasema kitu?badala yake Zitto anatoa tangazo lake binafsi la kutompigia kura Bernard Membe!?

Bernard Membe hajatoa tweet nyingine tangu siku ile alipocharuka na kudai “ yeye ndio yeye aliyepewa dhamana ya kuinadi ilani ya ACT Wazalendo ” na tangu siku hiyo Zitto anayumbayumba tu hadi Jana alipotoa tangazo la kumkana,Sasa Kachero Mbobezi yupo kimya, Last tweet alisema hizi ni propoganda tu, yeye ndo mbeba Ilani ya Chama, Ukimya wake una kishindo kikuu!? Lakini pia Tamko la Zitto limejaa usanii tu na ubinafsi. It is suprising how wapinzani hawalioni hili. Ukisoma point 1 na point 2 zinakinzana. Kwa hiyo maeneo ambayo ACT walipoweka wagombea wao hata kama ni dhaifu bado wanachama wawapige kura tu na kuwaacha wengine wenye nguvu zaidi kutoka upinzani Chadema et al!

-Upinzani sio wa kuaminika

Ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika,bado katika nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani imara na Madhubuti,inawezekana baadhi ya watu au mtu mmoja mmoja wako madhubuti lakini sio chama/vyama bado sio ACT, Chadema n.k vyote vina madhaifu makubwa, Mbowe,Zitto,Lissu anaweza kuwa imara lakini chama kama chama dhaifu,hivyo huwezi kuunda serikali kama unachama legelege au kisicho na msimamo,na watanzania makini kamwe hawawezi kuamini chama dhaifu kisicho na msimamo madhubuti,Naamini kabisa msimamo wa Zitto Kabwe wa kutompigia kura Bernard Membe haungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake,vivyo hivyo baadhi ya misimamo ya Lisu kama kuunga mkono ushoga,kusema yeye ana damu za nchi mbili, kuitukana Tanzania nje ya nchi haiungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake.

- Udhaifu wa Vyama vya Upinzani kumjenga mtu badala ya Chama

Unakuta mtu ndiye popular sio chama!!! mfano mzuri Mh Edward Lowasa alipoingia upinzani alipata kura nyingi akaambulia wabunge 40 kati ya 264 ina maana hata angeshinda uraisi bunge lingemkwamishwa kwa kila kitu sababu CCM ndio ingekuwa na nguvu bungeni na ndio ingetoa Spika na Naibu Spika,ilitokea hivyo sababu mgombea Edward Lowasa alikuwa popular kuliko Chama,

Vivyo hivyo inatokea Zanzibar sasa hivi,Maalim Seif yuko popular kuliko chama matokeo yake miaka yote anashindwa kupata wajumbe wa baraza la wawakilishi wa kutosha,hili linatokea kwa vyama vyote,Lissu naye kajenga brand yake ya u popolar zaidi ya Chama chake Cha Chadema,uko chini mauaji hakuna kitu watu wagombea ubunge na udiwani maeneo yao wako very unpopular na sehemu nyingi zina wagombea ubunge wasio hata na matawi ya chadema yenye watu hata 50.

Unakuta mtu kachukua fomu kugombea ubunge wa jimbo lakini tawi la chadema liko moja tu lina watu hawafiki hata 5 hadi 10,Wagombea ambao ni serious and they mean business Chadema kwa hesabu zangu hawazidi 2 ,Hivyo waweza ona tatizo la kujenga Brand binafsi linavyoweza leta shida kwenye vyama ina maana hata Lisu angeshinda bunge lingekuwa sio lake ni la CCM ndio wenye bunge na waweza mkwamisha na kumpiga chini ili uchaguzi urudiwe kwa kukwamisha kila kitu ambacho angekipeleka bungeni ambacho kingepelekea bunge kuvunjwa na yeye arudi tena akichechemea kuanza kuomba kura upya!

Nimalizie kwa kumshukuru Tindu Lissu kwa kuwa msindikizaji kwenye huu uchaguzi kawa mnogeshaji badala ya Kachero Mbobezi,Ninachojua tu ni kwamba Chama cha CCM hakijawahi Kuogopa 'Mivumo' ya hawa Watu wanaoonekana kuwa 'Tishio' kwake na bahati nzuri tu ni kwamba wote huwa ' wanavuma ' kama alivyovuna Kachero Mbobezi Bernard Membe na Tindu Lissu halafu baadae wote hao kama ngoma ikiwambwa inalia halafu inapasuka,

Kwa kuwa hawana misimamo wanashindwa, wananywea,wanagundua waliwaambia tuko pamoja kumbe hawakuwa pamoja,na watu wa Twitter na mafuriko ya kuchonga sio waliojiandikisha kwenye daftari la kupiga kura, Tusisahau miamba ya Mafuriko Augustine Lyatonga Mrema na Mh Edward Lowassa wakati tukiwa tunaanza kumshabikia na kumvimbisha Kichwa Bernard Membe au Tindu Lissu,

Kwangu Mimi hadi hivi leo sijaona kama kuna Mgombea' Tishio ' kwa CCM na Mwenyekiti wake wa Taifa Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli na hata kwa nchi,mnapoteza sana muda wenu kudhani kuwa kuna Siku Tindu Lissu atakuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Fanyeni kazi zenu na Jengeni familia zenu si Zitto, si Membe, si Tundu hawatokuja kuwa Rais wa nchi hii awe ndani ya CCM au akiwa ACT au CHADEMA labda kizaliwe Chama kipya chenye itikadi na misimamo mipya sio hii ya sasa kupinga kila kitu,

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Wewe UVCCM achana na haya maisha ya kizamani ya kufuatilia maisha ya watu. Usikute hujapata hata chakula cha mchana kinacho eleweka! Ila wewe uko busy tu na pilipili usiyo ila!

Si ungempigia tu kampeni ya moja kwa moja huyo mjivuni wako asiyekubalika na wapiga kura walio wengi! badala ya kutumia muda mwingi kumjadili mtu asiye kuhusu!
 
Mbona kama unaona uchaguzi huu ni vyana viwili vikivyosimamksha wagombea kwenye nafasi ya Urais JMT ili hali viko vingi? Ukifanya analysis chambua vyama vyote pqmoja na kudeclare interest kwa maelezo yako ni kama unaogopa ushindani ulio karibu. Hivi pamoja na kiwango chako cha elimu ndo the best analysis uliyoweza kufanya? Unachambua siasa za Tanzania kwa kutumia variable mbili? Vyuo vyetu ndo maana vinadharaulika kupitia watu kama ninyi!
 
KARIBU CCM KACHERO MBOBEZI, TAWI LA MKOMAMANGA, BERNARD KAMILIUS MEMBE

Leo 11:55hrs 17/10/2020

Yuko wapi Bernard Membe? Je, bado anasubiri "Tsunami ya vigogo" na wanachama wapya toka mikoa ya Lindi, Mtwara, wanaokuja kunogesha kampeni za ACT pamoja nae? Wako wapi watu waliosema wako nyuma yake? Kachero anashangaa jinsi watu waliosema wako nyuma yake walivyokimbia,uenda hakukuwa na watu nyuma yake. Si ajabu walikuwa ni vivuli vya tawi lake la mkomamanga na yeye akadhani ni watu,Kachero kapotea hata kampeni hazijafika muda wake wa kuisha.

The question is: Kachero mbobezi alifanya Assessment ya situation on the ground?

Bernard Membe hana hamu tena na Zitto aliye ahidi atapambana nae kwenye jua na mvua ajabu baada ya kuona mambo sio mazuri Zitto huyo huyo ndio wa kwanza kumkana. Ama kweli “there are no permanent friends in politics, only permanent interest”.Naamini Kachero Mbobezi, Bernard Membe ataweka maslahi ya Taifa mbele siyo yake binafsi,hakuna maslahi makubwa kwa nchi zaidi ya kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli kumpigia kura Ndugu John Pombe Magufuli kurudi madarakani october 28.

Ndugu John Magufuli ndiye alama ya maendeleo ya kweli nchini hususani kwenye suala la kuikomboa Tanzania kiuchumi,Naamini Kachero Mbobezi,Bernard Membe uko behind the scene unafanya juhudi zote kurudisha Madarakani chama ca Watanzania,Chama Cha Mapinduzi na sio Sacco's na NGO za kina Mbowe na Zitto,naamini unafanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa sana,Kachero Mbobezi ni jasusi aliyetoka katika kitengo cha usalama muda mrefu sana katika awamu ya Julius Nyerere uko nyuma,Ni yeye Kachero Mbobezi aliyebaki active,ingawa watu wengi wamepita na mifumo mingi imebadilika wengi wakiwa hawana tena mizizi uko usalama wa taifa,wengine wakibaki na CV tu,japo wakihitajika kutoa ushirikiano wa jambo fulani,lazima watoe,

Kwa mifano michache, Rais John Magufuli ni Rais pekee Afrika, kama sio dunia nzima:

1-Amebadilisha jinsi wanasiasa wanavyopaswa kufanya siasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla,Ameondokana na siasa za majukwaani zenye lugha ya ulaghai, propaganda na kutafuta umaarufu,na kuwa Mtendaji zaidi ya mwanasiasa.

2-Amejenga nidhamu kwa watendaji wa Serikali na taasisi zake ambao waliendekeza,uzembe kazini,Ufisadi, urasimu na umangimeza, wakifanya ofisi za umma mali zao binafsi,

3-Rais John Magufuli ametafsiri Siasa ya Ujamaa na kujitegemea kwa vitendo,na kuendana na falsafa ya Mwalimu Julius Nyerere, kujenga miundo mbinu ya Umeme ili tuweze kujitegemea kwa kuanzisha Viwanda, kuzalisha bidhaa zetu toka kwenye Malighafi za kilimo chetu, na kuzalisha ajira kutoka viwandani.

-Tamko la Zitto Kabwe kutompigia kura Bernard Membe

Bernard Membe hana hamu tena na Zitto Kabwe aliye ahidi atapambana nae kwenye jua na mvua ajabu baada ya kuona mambo sio mazuri Zitto huyo huyo ndio wa kwanza kumkana,Kwa nini Membe hazunguki kufanya kampeni? Membe yupo wapi? Kwa nini Membe wasimpandishe jukwaani akasema kitu?badala yake Zitto anatoa tangazo lake binafsi la kutompigia kura Bernard Membe!?

Bernard Membe hajatoa tweet nyingine tangu siku ile alipocharuka na kudai “ yeye ndio yeye aliyepewa dhamana ya kuinadi ilani ya ACT Wazalendo ” na tangu siku hiyo Zitto anayumbayumba tu hadi Jana alipotoa tangazo la kumkana,Sasa Kachero Mbobezi yupo kimya, Last tweet alisema hizi ni propoganda tu, yeye ndo mbeba Ilani ya Chama, Ukimya wake una kishindo kikuu!? Lakini pia Tamko la Zitto limejaa usanii tu na ubinafsi. It is suprising how wapinzani hawalioni hili. Ukisoma point 1 na point 2 zinakinzana. Kwa hiyo maeneo ambayo ACT walipoweka wagombea wao hata kama ni dhaifu bado wanachama wawapige kura tu na kuwaacha wengine wenye nguvu zaidi kutoka upinzani Chadema et al!

-Upinzani sio wa kuaminika

Ninarudia kusema tena vyama vya upinzani sio vya kuaminika,bado katika nchi yetu hatujapata vyama vya upinzani imara na Madhubuti,inawezekana baadhi ya watu au mtu mmoja mmoja wako madhubuti lakini sio chama/vyama bado sio ACT, Chadema n.k vyote vina madhaifu makubwa, Mbowe,Zitto,Lissu anaweza kuwa imara lakini chama kama chama dhaifu,hivyo huwezi kuunda serikali kama unachama legelege au kisicho na msimamo,na watanzania makini kamwe hawawezi kuamini chama dhaifu kisicho na msimamo madhubuti,Naamini kabisa msimamo wa Zitto Kabwe wa kutompigia kura Bernard Membe haungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake,vivyo hivyo baadhi ya misimamo ya Lisu kama kuunga mkono ushoga,kusema yeye ana damu za nchi mbili, kuitukana Tanzania nje ya nchi haiungwi mkono na viongozi waandamizi wa chama chake.

- Udhaifu wa Vyama vya Upinzani kumjenga mtu badala ya Chama

Unakuta mtu ndiye popular sio chama!!! mfano mzuri Mh Edward Lowasa alipoingia upinzani alipata kura nyingi akaambulia wabunge 40 kati ya 264 ina maana hata angeshinda uraisi bunge lingemkwamishwa kwa kila kitu sababu CCM ndio ingekuwa na nguvu bungeni na ndio ingetoa Spika na Naibu Spika,ilitokea hivyo sababu mgombea Edward Lowasa alikuwa popular kuliko Chama,

Vivyo hivyo inatokea Zanzibar sasa hivi,Maalim Seif yuko popular kuliko chama matokeo yake miaka yote anashindwa kupata wajumbe wa baraza la wawakilishi wa kutosha,hili linatokea kwa vyama vyote,Lissu naye kajenga brand yake ya u popolar zaidi ya Chama chake Cha Chadema,uko chini mauaji hakuna kitu watu wagombea ubunge na udiwani maeneo yao wako very unpopular na sehemu nyingi zina wagombea ubunge wasio hata na matawi ya chadema yenye watu hata 50.

Unakuta mtu kachukua fomu kugombea ubunge wa jimbo lakini tawi la chadema liko moja tu lina watu hawafiki hata 5 hadi 10,Wagombea ambao ni serious and they mean business Chadema kwa hesabu zangu hawazidi 2 ,Hivyo waweza ona tatizo la kujenga Brand binafsi linavyoweza leta shida kwenye vyama ina maana hata Lisu angeshinda bunge lingekuwa sio lake ni la CCM ndio wenye bunge na waweza mkwamisha na kumpiga chini ili uchaguzi urudiwe kwa kukwamisha kila kitu ambacho angekipeleka bungeni ambacho kingepelekea bunge kuvunjwa na yeye arudi tena akichechemea kuanza kuomba kura upya!

Nimalizie kwa kumshukuru Tindu Lissu kwa kuwa msindikizaji kwenye huu uchaguzi kawa mnogeshaji badala ya Kachero Mbobezi,Ninachojua tu ni kwamba Chama cha CCM hakijawahi Kuogopa 'Mivumo' ya hawa Watu wanaoonekana kuwa 'Tishio' kwake na bahati nzuri tu ni kwamba wote huwa ' wanavuma ' kama alivyovuna Kachero Mbobezi Bernard Membe na Tindu Lissu halafu baadae wote hao kama ngoma ikiwambwa inalia halafu inapasuka,

Kwa kuwa hawana misimamo wanashindwa, wananywea,wanagundua waliwaambia tuko pamoja kumbe hawakuwa pamoja,na watu wa Twitter na mafuriko ya kuchonga sio waliojiandikisha kwenye daftari la kupiga kura, Tusisahau miamba ya Mafuriko Augustine Lyatonga Mrema na Mh Edward Lowassa wakati tukiwa tunaanza kumshabikia na kumvimbisha Kichwa Bernard Membe au Tindu Lissu,

Kwangu Mimi hadi hivi leo sijaona kama kuna Mgombea' Tishio ' kwa CCM na Mwenyekiti wake wa Taifa Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli na hata kwa nchi,mnapoteza sana muda wenu kudhani kuwa kuna Siku Tindu Lissu atakuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Fanyeni kazi zenu na Jengeni familia zenu si Zitto, si Membe, si Tundu hawatokuja kuwa Rais wa nchi hii awe ndani ya CCM au akiwa ACT au CHADEMA labda kizaliwe Chama kipya chenye itikadi na misimamo mipya sio hii ya sasa kupinga kila kitu,

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Naona CV yako hapo chini ndio ya misingi zingine ni porojo tu .
Nikupe ajira ya u CEO upunguze njaa?
 
Ndio maana kaitwa kachero sasa kama hujui mbinu za makachero we endelea kumwamini Polepole ila jua mwaka huu ndio utajua maana halisi ya ukachero
 
Membe ana lake jambo sio wa kupuuza mmoja kwa mmoja.Labda Zitto ndio amepata hasara kwa kujipa matumaini ya kufaidika ujio wa Membe na akashindwa kutumia fursa hio.
Sitashangaa ACT ikajikuta imepoteza Tanzania Bara nafasi za madiwani na wabunge.
Lakini kama Zitto angevumilia hivyo hivyo kumnadi Membe bara nzima,angekuwa na nguvu za kupata wabunge wa Mtwara,Lindi,Ruvuma na Pwani hata Dar.
Membe ni mtaji uliotoswa bure.
 
Benard Membe anasubiri kuapishwa kazi aliyomtuma Lisu kaifanya kwa weledi !!Lisu ndie ataamua lisu membe kushika dola!!BM NDIO KARATA PEKEE KWA DEEP STATE KUMFANYA KUWA RAISI AJAE!!
 
Kachero mbobezi Jasusi wa Tanganyika anawaza U_turn akaipigie wapi maana pumzi Hana tena
 
Back
Top Bottom