Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,395
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami... Sheh Ponda ana command kubwa kwa waislamu kuliko BAKWATA....
CCM tushafanya a big mistake kwa kweli....
Suala la pili ni Lisu kumaliza kampeni Dar es Salaam. Wakati Mgombea wetu tarehe hiyo 27 atakuwa mapumnziko Chamwino... Yaani Lisu kumaliza mziki Dar is another disaster... Itakuwa ni funga kazi na atakomba kura zote Mlm 3 za Dar..
NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake.
Kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani tokea tupate uhuru anaandaliwa speech mbili. Ya kushukuru kwa ushindi na at the same time anandaa speech ya kukubali kushindwa... You have really put us in a mess You two people... Tukivuka hili, basi mjiandae kabisa na mfunge kabisa mabegi yenu. Hatuwezi kukubali kuingia na nyie tena katika uchaguzi wa 2022 na 2025.... Kama TUKISHINDA ingawa sioni dalili