Uchaguzi 2020 Kwa 'Udhaifu' wa Kisiasa na 'Mapungufu' ya 'Vichwa' hivi Vitatu hivi CCM 'ikishinda' chaguzi zake Milele mtalaumu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Mwenye Chama chake cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

Nitamuunga mkono na Kumpigia Kura Tundu Lissu

Aliyekaribishwa 'Kimkakati' ndani ya Chama Maalim Seif Sharrif Hamad

Maamuzi yote ya Chama cha ACT - Wazalendo ni kuwa tunamuunga Mkono Mgombea Tundu Lissu wa CHADEMA

Mgeni wa 'Kuokotwa' na 'Kukopeshwa' Umaarufu ndani ya Chama cha ACT - Wazalendo Bernard Membe

Nikwahakikishie Watanzania mimi ni mgombea halali kabisa wa ACT WAZALENDO na nitashiriki kwenye uchaguzi huu kwa tiketi ya chama hiki niwaondoe hofu. Mimi ni mgombea halali wa Chama cha ACT - Wazalendo na nitakipeleka chama changu kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28, chama kimoja pekee ndiyo kinaweza kuondoa utawala uliopo madarakani, kuungana bado hakujafanikiwa Afrika.

Kama 'Upinzani' nchini Tanzania utakuja 'Kuing'oa' CCM 'Madarakani' basi huenda ikawa ni mwaka wa 10000 / 100000 tu ijayo kabisa ila siyo sasa.
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,721
2,000
10000/100000 = 0.1 ambayo ni sawa na masaa 7.2 hongera kwa kulijua hilo kuwa saa ya ukombozi imewadia
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,678
2,000
Chama kimoja maadhimio tofauti, mwaka huu kipigo kipo pale pale, CCM inakwenda kushinda kwa kishindo ushahidi ni huu wanaanza kusalitiana wao kwa wao.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
935
500
Dawaamul haal minal muhaal, kila chenya mwanzo kina mwisho.
That is equally true for CHADEMA! Kwa mwenendo wa hiki chama na mvurugano wa ndani na hasa kuhusu RUZUKU na PESA za uchaguzi, zile alizoleta Lissu kutoka kwa Bob Amsterdam na zile za Wabunge wake zilizoliwa na kutapeliwa na "chifu" wao, kitakifanya CHADEMA KIFIKIE MWISHO WAKE mapema sana kuliko CCM ambayo iko hapa na itaendelea kuwapo kwa siku nyingi tu ZIJAZO. Watasubiri sana.
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,266
2,000
Hlo ndilo mnalotaman p1 na kuendesha biashara yenu haramu na kudai upinzan umekufa bdo inathisha upinza upo tena imara kuliko jana
That is equally true for CHADEMA! Kwa mwenendo wa hiki chama na mvurugano wa ndani na hasa kuhusu RUZUKU na PESA za uchaguzi, zile alizoleta Lissu kutoka kwa Bob Amsterdam na zile za Wabunge wake zilizoliwa na kutapeliwa na "chifu" wao, kitakifanya CHADEMA KIFIKIE MWISHO WAKE mapema sana kuliko CCM ambayo iko hapa na itaendelea kuwapo kwa siku nyingi tu ZIJAZO. Watasubiri sana.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,624
2,000
Mwenye Chama chake cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

Nitamuunga mkono na Kumpigia Kura Tundu Lissu

Aliyekaribishwa 'Kimkakati' ndani ya Chama Maalim Seif Sharrif Hamad

Maamuzi yote ya Chama cha ACT - Wazalendo ni kuwa tunamuunga Mkono Mgombea Tundu Lissu wa CHADEMA

Mgeni wa 'Kuokotwa' na 'Kukopeshwa' Umaarufu ndani ya Chama cha ACT - Wazalendo Bernard Membe

Nikwahakikishie Watanzania mimi ni mgombea halali kabisa wa ACT WAZALENDO na nitashiriki kwenye uchaguzi huu kwa tiketi ya chama hiki niwaondoe hofu. Mimi ni mgombea halali wa Chama cha ACT - Wazalendo na nitakipeleka chama changu kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28, chama kimoja pekee ndiyo kinaweza kuondoa utawala uliopo madarakani, kuungana bado hakujafanikiwa Afrika.

Kama 'Upinzani' nchini Tanzania utakuja 'Kuing'oa' CCM 'Madarakani' basi huenda ikawa ni mwaka wa 10000 / 100000 tu ijayo kabisa ila siyo sasa.
Tangu Membe atangaze kufanya Press leo asubuhi, ushaporomosha threads ngapi ?
 
lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
435
500
Tafsiri katika picha

Mavazi
Macho uelekeo
Usikivu
Screenshot_20201018-111458_1603115382434.jpg
 
Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,092
2,000
watu wanapigwa chenga ya mwili.... tukumbuke vyama vilizuiwa kuungana... sasa kwa akili ya kawaida M hawezi sema hadharani kwamba anamuunga mkono lissu...
muda bado ni mwingi mno... tungoje tuone...
 
BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
3,530
2,000
Ni kazi sana kuwaelewa majasusi wakishatemwa na mfumo😀😀
 
bg2017

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
501
1,000
Tanzania asilimia kubwa ya upinzani ni mapandikizi ya ccm, inahitaji muda mrefu sana kuujenga upinzani thabiti, lisu ni mpinzani wa kweli tatizo amezungukwa na watu fake wengi sana wanaojiita wapinzani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom