Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au sababu nyingine yoyote inayotokana na uchaguzi kufanyika au kukumbwa na kasoro katika siku ya kwanza?
Kwa maneno mengine, kama hakuna sababu ilitopelekea uchaguzi urudiwe katika Siku tofauti,Tume ya Uchaguzi ina haki kisheria kutangaza uchaguzi kufanyika kwa Siku zaidi ya moja?
Kama sheria hairuhusu,kwanini vyama vya siasa visienda mahakamani kupinga Tume kutangaza tarehe mbili tofauti za kupinga kura?