Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,548
217,821
Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini




Maalim Seif akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Moshi mjini na kumuombea kura Tu ( 407 X 640 ).jpg
 
Kana kuna kitu kinanipa raha uchaguzi huu ni kuwa tuna wagombea wa kweli wa upinzani. Hakuna kampeni zilinitesa kama zile zilizopita za yule mzee tapeli aliyerejea ccm.

Safari hii nina raha ya ajabu maana tunapambana na ccm, tena baada ya wapinzani kufanyiwa ukatili, uhayani na unyama wa wazi ili tufutike. Uchaguzi huu ndio umeonyesha wazi upinzani ni imani na haumalizwi kwa ujenzi wa bwawa la umeme, au wachumia tumbo kadhaa kununuliwa na ccm kwenda kuunga juhudi.
 
Kana kuna kitu kinanipa raha uchaguzi huu ni kuwa tuna wagombea wa kweli wa upinzani. Hakuna kampeni zilinitesa kama zile zilizopita za yule mzee tapeli aliyerejea ccm. Safari hii nina raha ya ajabu maana tunapambana na ccm, tena baada ya wapinzani kufanyiwa ukatili, uhayani na unyama wa wazi ili tufutike. Uchaguzi huu ndio umeonyesha wazi upinzani ni imani na haumalizwi kwa ujenzi wa bwawa la umeme, au wachumia tumbo kadhaa kununuliwa na ccm kwenda kuunga juhudi.
Ushindani ni wakiwango Cha juu Sana,asiye kubali sii mkweli hats kwenye nafsi take mwenyewe,hats Kuna upande unaelemewa.
 
Back
Top Bottom