Uchaguzi 2020 Hutokaa usikie neno HAKI kutoka kwa wagombea wa CCM

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
2,373
2,000
Baada ya kuona upepo unazidi kua mbaya na mgombea wa upinzani akisisitiza kulinda kura ili wahuni wasichakachue..na endapo wakichakachua basi raia wataingia barabarani.

Wagombea wa CCM wamekazana sana kudai na kulinda Amani ya nchi..Niwakumbushe tu hakuna Amani mahali pasipo na HAKI..tendeni haki na Amani itapatikana bila kelele.

Kama ilivyokua kipindi cha kura za maoni ndani ya chama cha mapinduzi..kura zilihesabiwa kwa uwazi..vivyohivyo tunaomba tume ya uchaguzi ifanye hivyo chwa uchaguzi mkuu.

Hakuna kiongozi wa CCM ama mataga ambaye utamsikia akisema neno HAKI katika kipindi hiki cha kampeni.. mana shetani hajawahi na hawezi tenda haki..mioyo yao imejaa wizi,dhuluma,unafiki na Uongo.

AMANI NI ZAO LA HAKI.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom