Uchaguzi 2020 Urais wa Lissu sio wa CHADEMA bali wa mageuzi nchi nzima. Viongozi Upinzani fanyeni haya

MtuHabari

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
321
1,019
Amueni kwa nia moja kabisa kuwa kupata kwa Tundu Lissu ushindi sio kupata kwa CHADEMA bali kwa Watanzania wote wapenda maendeleo na demokrasia.

Adhima ya kuiondoa CCM yenye ukandamizaji na ukatili madarakani ni ya wote bila kujali ni wachama gani, hivyo watu washirikiane katika kuzika msiba huu wa taifa.

Hakuna jambo lingekuwa jema sana kama siku ya kufunga kampeni Dar kwa Tundu Lissu basi viongozi wa vyama vingine wakajitokeza jukwaa moja na kutoa salamu pamoja kuonyesha wanamuunga mkono.

Akiwepo Zitto, Membe, Rungwe, hata na wale wasaliti Lipumba na Mbatia wakija na kutubu heshima yao itarudi na wananchi wataelewa somo.

Mkusanyiko huo hauna shida tena kisheria maana serikali ijayo haitaona ni shida Bali kutafuta njia za kufanya kazi pamoja huku majizi ya CCM na wenzao wakitupwa pembeni.

SHIRIKIANENI JAMANI
 
Shekeri ndugu yangu ndiyo dawa ya kila kitu...

Mtu kwa shekeri tu akamuuza Mungu muumba wake..

Wameshapigwa shekeri hao. Achana nao kabisa..

Mungu hahitaji jeshi kubwa kuwakomboa watu wake..

Mungu anahitaji mtu mmoja tu anayeonekana ni dhaifu na mnyonge kwa nje mbele ya macho ya binadamu lakini mwenye nguvu kubwa ya Mungu Yehova ndani yake ili kuwakomboa watu wake..

Rejea historia ya ukombozi wa mwanadamu kutoka miaka maelfu na maelfu iliyopita..

Mfano;

MUSSA: akamkomboa Israel kutoka Misri dhidi ya utawala wa Farao..

DAUDI: Akamkomboa Israel kutoka katika uonevu wa utawala wa Wafilisti chini ya mbabe wao wa kivita pandikizi la mtu aliyeitwa Goliath (alama halisi ya shetani)..

SAMWEL: Akamkomboa Israel kutoka ktk utawala wa wamidiani waliokuwa na jeshi kubwa lenye maelfu ya askari wengi kama mchanga wa bahari wenye kila aina ya zana za kisasa za kivita dhidi ya askari 30,000 tu waliongozwa na Samwel wenye mapanga tu mikononi mwao..

JOSHUA: Akamkomboa Israel kutoka katika mataifa mbalimbali yaliyosimama njiani kuwa kizuizi cha Israel kuelekea Kanaani..

JULIUS K. NYERERE: Akaikomboa Tanganyika na Watanganyika kutoka katika utawala wenye nguvu na kila aina ya zana za kijeshi na kivita, mkoloni Mwingereza..

NYERERE alikuwa na silaha moja tu kubwa na yenye nguvu kuliko risasi yaani NGUVU YA UMMA (people's power) nyuma yake..

Sisi mwaka huu tunaye;

TUNDU LISSU:

Huyu ndiye atakayeikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya CCM wakiongozwa na jemedari wao wa vita pandikizi la mtu John P. Magufuli

Tundu Lissu hana fedha, hana zana kivita wala askari kuwaongoza ili wapigane na Goliath wa sasa John Pombe Magufuli

Lakini yeye (Tundu Lissu) ana nguvu ya Mungu kupitia kwa umma..

Hakika TUTASHINDA kwa Jina la Mungu wetu aliye HAI Yesu Kristo muumba wa mbingu na nchi...
 
Huyo huyo ambaye alishaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu??
 
Nyerere : Upinzani wa kweli utatoka CCM.

LISU hajatoka CCM hivyo kama unategemea kauli ya Nyerere kama reference hapo umeula wa Chuya.
 
Point
 
watanzania wanataka Mabadiliko, wasipoyapata ndani ya ccm watayapata nje ya ccm. Jk nyerere
 
Hakika andiko lako lina mashiko,ila sasa kwakuwa hao uliowataja wengine wapo Kama mashehe wa bakwata.
 
Nyerere : Upinzani wa kweli utatoka CCM.

LISU hajatoka CCM hivyo kama unategemea kauli ya Nyerere kama reference hapo umeula wa Chuya.
Upinzani wa kweli unatoka ccm kwa sasa lakini mpinzani wa kweli hatatoka CCM.
Umeelewa au nikufahamishe? Upinzani unaoiangusha sasa hivi ccm unatokea ndani ya ccm maana wao ndio watendaji ndani ya serikali na wanamfanyia Magi mambo wanayojua yatamuangusha lakini anayemtoa ni Lissu naye sio ccm
 
Hakuna kitu kama hicho.
 
Huyo huyo ambaye alishaadhibiwa kwa utovu wa nidhamu??
kuna watanzania wa enzi hizo, walimuona Nyerere ni mkorofi alivyoshitskiwa na wazungu kwa kupinga serikali ya kimabavu, nyie pia hamna tofauti na wa south Africa, waliokuwa wanamuona Mandela ni mkorofi na amejitakia kukaa gerezan wakati anapiga ubaguzi kule south Africa. Kwa hiyo kupewa adhabu hakuondoi dhamira yake ya dhati, kwa sababu wanao mpa adhabu wapo upande wa watawala.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu,mmeteseka kwa kukandamizwa stahiki zenu kwa muda mrefu sanaa.Miaka 5 mmekuwa kituko mtaani maisha yenu.
 
The Palm Tree.
Mwingereza hakuwahi kuitawala Tanganyika kama koloni, alikuwa baba wa kambo aliyepewa kuwalea akisubiri mkue awape urithi wenu.

Hivyo basi, kuhusu Nyerere umepotoshwa.

Pia, kwenye rejea zako umetaja Taifa gani sijui miaka zaidi ya 2000 iliyopita lilikuwa na zana 'za kisasa' za kivita.... hii haiwezi kuwa kweli.

Kura zetu kwa LISSU.
 
Back
Top Bottom