Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Jinsi ya kuhakiki kituo chako cha kupigia kura tarehe 28 Oktoba

Ni Lini mliwahi kukubali Viongozi wenu hamnazo kichwani? Siku wakihama ndio akili zenu ukaa sawa nyie mlimpa kiburi Membe ooh Kachero Kachero yuko wap?

Ni Lini mliwahi kukubali Viongozi wenu hamnazo kichwani? Siku wakihama ndio akili zenu ukaa sawa nyie mlimpa kiburi Membe ooh Kachero Kachero yuko wap?
Mkuu mimi niko Chdema siko chama cha Membe
 
Nishahakiki changu,familia yangu,ndugu jamaa na marafiki wote. Na kazi Moja tuu hapo 28October ni kuliponda Jiwe.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hahahaaaa ndugu ndo kujifariji gani huku?.Nakushauri utafute namna nyingine ya kujifariji.Hii sio.
 
Back
Top Bottom