Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,495
- 5,532
Habari za wakati huu
"Maendeleo ni hatua (Development is a Process) ambayo inalenga hasa kuhakikisha kuna kuwa na jamii bora, iliyostaarabika, yenye furaha na inayopata mahitaji yake yote ya msingi kwa haki na usawa na ambayoo inaheshimu sheria inatoa fursa sawa kwa wote na yenye amani utulivu na mshikamano"
Kwa kuzingatia hi definition ya juu, ambayo sidhani kama kuna ambaye anapinga basi kila jambo linalofanyika lazima lilenge hapo juu kwamba liwapele watu zaidi kuelekea katika jamii yenye sifa kama au zaidi ya niliyozitaja hapo juu.
Kwa sababu Magufuli JPM amekuwa madarakani kwa takribani miaka 5 basi tumpime kwa kutumia vigezo vya msingi kwa yale aliyofanya iwpo yanatimiza vigezo vifuatavyo:
Kama unaona mada ni ngumu sio saizi yako jitahidi uiache kama ilivyo

- Kujenga jamii bora
- Kujenga jamii iliyostaarabika
- Kujenga yenye furaha
- Kujenga jamii inayopata mahitaji yake yote kwa haki na usawa
- Kujenga jamii inayoheshimu sheria
- Kujenga jamii inayotoa fursa sawa kwa wote
- Kujenga jamii yenye amani na utulivu
- Kujenga jamii yenye Mshikamano