Uchaguzi 2020 Jimbo la Isimani latarajia mabadiliko makubwa Oktoba 28

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,657
218,145
Hii ni baada ya wananchi kukubali Mabadiliko kwa moyo mweupe kabisa.

Utawala wa kisultani wa jimbo hilo unaenda kuangushwa baada ya hongo ya viberiti, chumvi, Sukari na Ulanzi kugonga mwamba.

Pichani ni wananchi wa Jimbo hilo wakimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA, Patrick Ole Sosopi

Subpost 2 - Tar 19.10.2020  Ahsanteni sana Kata ya  Itunundu, Kijiji cha Itunund ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 9 - Tar 19.10.2020  Ahsanteni sana Kata ya  Itunundu, Kijiji cha Itunund ( 640 X 640 ).jpg
 
Mbinu ya Chadema na Lissu nchi nzima ni ileile kutafuta sehemu finyu kufanyia mikutano ili wananchi wabanane na wakanyagane na kuleta picha mitandaoni kuonesha walio hudhuria ni wengi.
 
Lukuvi anajiandaa kugalauka jukwaani siku ya kufunga kampeni tarehe 27. Hapi yake ni tete kweli kweli.
makamanda kwa kudanganyana... siku ya uchaguz lukuv anaacha kot hapa isiman ye atakua dar ila bado dg hapat kura 500
 
Unateseka??

Mimi au Lissu baada ya 28/10. Mfa maji sikiliza hutoba zake za kampeni anarukia hili mara lile hajielewi ashike nini? Kumbuka kuna wakati Lissu alimkumbatia Membe wakati ule wa mwanzo wa kampeni. Leo umemsikia Maalimu Seif anaongea nini kuhusu Membe?
 
Ili jimbo la Isimani inabidi waligawe mara mbili au tatu, jimbo moja aliwezi kuwa na ukubwa karibu na mkoa mzima wa Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom