Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,652
218,132
Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote.

Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.

KATA kwa KATA _ LEO  na WAKAZI HALISI wa KATA ya NSALAGA,Eneo la  ITEZI MASHARIK ( 334 X 640 ).jpg

 
Manga, Mbeya
Tanzania

Joseph Mbilinyi 'Sugu' Kampeni2020 akipita kata kwa kata leo kata ya Manga akikutana na wapiga kura

 
Tulia hawezi kumshinda Sugu ubunge Mbeya Mjini, hamna haja kuendelea kujadili hilo, that's a fact.

Wasijidanganye kuiba kura waseme wameshinda, kwasababu ili ushinde lazima uwe na mtaji wa watu, Sugu anao, na Tulia bado ametulia zake tu kama jina lake.
 
Sugu afike akubali hana chake miaka 10 ya kujinufaisha yeye inamtosha
Kwa akili hizi ndio maana ccm mnasimika wagombea wabovu wabovu tu...! Mfano Rashid bin Gwajiboi hakufaa kabisa kugombea yule ni International Tapeli...
 
Back
Top Bottom