Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,469
2,000

Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.

Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.

Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji.

Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad.

 

dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,300
2,000
Ndio maana sisi wengine tunawadharau sana wanaoenda kusali kwenye vijiwe vinavyoitwa makanisa ya watu binafsi mjinga kama huyo angekuwa mtumishi wa RC or KKKT angeondelewa mapema sana. Unafikia

Kukana Imani ili uchaguliwe kuwa Mbunge SHAME
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom