kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,602
Tanzania ina wastaafu wengi sana ambao wanahudumiwa kwa kodi za Watanzania wote bila kujali dini Wala vyama vya siasa.
Wastaafu wetu hawana budi nao kuwahudumia walipa Kodi Hawa kwa kwa kuhakikisha kuwa wanahimiza na kuhubiri waziwazi bila woga, upendeleo wala unafiki kuhusu haki kwa raia, wagombea, vyama na wapiga kura wote. Waache kuihubiri amani kabla ya kuihubiri haki.
Akina Mzee Malechela, Msekwa, Makamba, Butiku, Mwingi, Kikwete, Butiku, Mongela, Anna Abdala, nk mko wapi wakati vijana wanapokaribia kuvurugana?
Wazee mnaiambia nini Serikali, Tume ya uchaguzi, ofisi ya msajili, wagombea na wapiga kura kuhusu kutenda haki?
Au mnasubiri hadi kilipuke ili nanyi mshangae? Kwa wazee huu sio muda wa kuunga mkono upande vinginevyo thamani yenu haitaonekana kwenye jamii. Mtakuwa wazee ambao hamstahili kuhudumiwa kwa Kodi zetu.