Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Posts
20,508
Reaction score
6,199
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa North Mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa North mara na anasema security status imewekwa RED.......

ANGALIZO: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura
 
bora abondwe..ana maringo sana huyu bwana, badala ya kuwatumikia wananchi ye analeta usharobaro,..nakumbuka huyu ndiye aliwatukana wenzake kwenye mkutano jukwaani..hadi wakamfungulia kesi aombe radhi!! Nadhani akili imemkaa sawa sasa.,watu washachoka,sasa hivi kichobaki ni kipigo tu...kuna mtu alisemaga ''mawe ni mepesi mkononi lakini mazito usoni''
 
WHat might be the reason behind kwa wananchi kumpiga muwakilishi wao?!
 
Keki ya taifa inaliwa na wachache na hili kila mtu analijua , IMF wanalijua na Uingereza wanalijua....the only solution is this one(kutumia njia ya waarabu egypt ,tunisia etc). May be those leaders gonna hear what people wants
 
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa North Mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa North mara na anasema security status imewekwa RED.......

ANGALIZO: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura

bado mukama. nasikia yupo bunda.

watajua tu kama tumechoka na mizaha yao
 
WHat might be the reason behind kwa wananchi kumpiga muwakilishi wao?!

maswali magumu, wananchi wambonda mwakilishi wao - kazi kweli kweli. tujuzeni mlioko huko.

Mpaka tuje tudundane ki sawa sawa ndiyo tutakuja kuheshimiana - huu utakuwa mfano hai kwa viongozi wasiotaka kutetea maslahi ya wananchi wao.
 
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa North Mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa North mara na anasema security status imewekwa RED.......

ANGALIZO: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura

Kigogo wa JF ni source tosha... Nami zimenifikia habari hizo pia Mkuu, asiyeamini shauri lake
 
Tarime kweli paukweli! Hii ndio inatakiwa kwa wote, vitendo ndio vinafikisha ujumbe!
 
yaani nafanya mipango nipate picha...nasikia kapigwa mitama mpaka shati wamemchania kitambi nje....daa nakukumbuka NYANGWINE wakati tuko mkwawa na lile kombe lako la uji ukitoka DH unashuka zako makongoro east.....eti leo mbunge!!!! mambo haya bwana
 
Mkuu makongoro east si ilikuwa ya mademu, na west ilikuwa ya boys ya Mwl Mwakanemela, mwalimu wao wa bweni
 
habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa tarime mh.nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...alikuwa amekwenda nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa north mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa north mara na anasema security status imewekwa red.......

Angalizo: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura

agalizo kwa nape:ukija kilimaniaro mfano ndo huo,tutakugombania
 
yaani nafanya mipango nipate picha...nasikia kapigwa mitama mpaka shati wamemchania kitambi nje....daa nakukumbuka NYANGWINE wakati tuko mkwawa na lile kombe lako la uji ukitoka DH unashuka zako makongoro east.....eti leo mbunge!!!! mambo haya bwana

Kwani alikuwa makongoro au mirambo?
 
Back
Top Bottom