Dkt. Mahera kuwa makini watanzania watano wamefariki kwa sababu ya nyinyi kuleta mkanganyiko hapo jana.
Umejitokeza kujibu hoja lakini hukujibu hoja nzito za mnyika
1) Wasimamizi kwa makusudi...
Pamoja na kwamba mimi ni mwamini Mungu lakini naona huu utaratibu ni kama unatuvuruga tu wananchi, kwani unaondoa dhana ya kutenganisha siasa na dini.
Isitoshe mambo mengi ya siasa yamejaa uongo...
TBC wanayo matangazo kipindi hiki ambayo yanahamasisha watu kwenda kupiga kura. Matangazo haya yanakuwa na kipande cha mtu anaongea kuhamasiha wengine kwenda kupiga kura na ni matangazo...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Masasi watambue kwamba nafasi ya urais inagusa maisha yao na wala si jambo la...
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani...
Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo.
Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe.
Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache.
Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni...
Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack...
Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na...
Wadau leo ninapenda niliweke hili suala uwanjani kwa kuwa naamini humu kuna wana CCM, wana Chadema, nk. Kwa ujumla ccm ni zao la TANU na ASP na kwa mantiki hiyo tokea mwaka 1961 ccm iko...
Nitaboresha urafiki na sekta binafsi ili kuzidi kukuza uchumi wa ndani, fursa za kutosha katika mkoa wa singida ikiwemo kilimo ili vijana waweze kunufaika.
''Kwa sasa sekta binafsi na serikali...
Na Emmanuel J. Shilatu
Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama...
Ndugu mfanyakazi,
Baada ya taasisi mbalimbali kutoa matokeo yake,
ni nafasi ya wafanyakazi na sisi kushiriki katika utafiti huu ambao ni jukwaa la wafanyakazi kutoa maoni yao
Tafadhali...
Habari wanajamvi!
Naam, hukumu imekatwa. Watanzania wameamua kwa dhati ya mioyo yao kuwa CCM wapumzike. Tanga kwa bashasha wamesema ni yeye! Kagera wamenena ya moyoni bila kificho kuwa ni yeye...
Viongozi wa dini mara zote wamekuwa wakihimiza au wao wakiombea taifa kuwa na amani.Hata hivyo tumeambiwa amani ni tunda la haki,na sisi tunahitaji tuendelee kuvuna tunda hilo.
Nadhani imefika...
Habari wajumbe wangu!
Kwakweli kabisa bila kupepesa macho nasema ukweli kwamba CCM hakuna ajenda wala sera. Mambo ni yale yale miaka yote wamekua wakiyaahidi na kila ikifika uchaguzi wanayarudia...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila siku, Tanzania ni moja kati ya nchi iliyojaaliwa tunu kadha wa kadha na Muumba wa mbingu na ardhi, ukiachana na utajiri mkubwa...
Katika kipindi cha 2015-2020 Taifa limeshuhudia uongozi uliotukuka na unaojali maendeleo ya watu maeneo yote ya nchi. Sitaki kusema yote lakini Rais dr Magufuli kazi aliyoifanya ni kubwa na...
Kuna mambo fulani yanaweza kuwa yanakiukwa katika suala zima la ushirikiano wa Chadema na Act wazalendo kuhusu kumuunga mkono Tundu LIssu wenye kugombea uraisi.
Lakini kila mtu, pamoja na CCM...
"CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM...
CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya...