Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi wekeni taarifa wazi kuhusu eneo, muda na tarehe yakuapisha Mawakala

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Tume ya uchaguzi zipo taarifa za wakurugenzi kutoa taarifa zinazokinzana za vituo, muda na tarehe kuapishwa mawakala.

Tokeni adharani mweke ratiba wazi watu wasome nakuteleza. Itashangaza kusikia wapo mawakala wameshindwa kuapa. Ikumbukwe kwenye uteuzi figusu zilianza kama rumas lakini zikajakuwa kweli.

Kuweni wawaza katika hatua hizi kuepusha vurugu
 
Amani ya nchi ipo mikononi mwa NEC na ZEC, hili wanapaswa kulielewa na sio la kuwakumbusha kama watoto wa chekechea.

Wakifanya UJINGA, wananchi tutafanya UPUMBAVU.
 
Amani ya nchi ipo mikononi mwa NEC na ZEC, hili wanapaswa kulielewa na sio la kuwakumbusha kama watoto wa chekechea.

Wakifanya UJINGA, wananchi tutafanya UPUMBAVU.
Watu tunaenda kupiga Kura tunarudi home, wawepo mawakala wasiwepo napiga naenda kwa mke wangu nyumbani
 
Kwa kweli iwekwe wazi... Kila chama kijue...
Mizengwe tayari imeanza kupakuliwa toka jikoni. Fujo zitaanzia hapa kwenye kuteua na kuapisha na kuwapa vitambulisho mawakala. Ccm haitakubali kupoteza nafasi ya wazi ya wizi.

Mawakala wake wengi watapelekwa kwa majina ya vyama vya CcmB. Chadema chunga sana kuanzia hapo. Si wasimamizi ni wao? Na NEC si ni yao? Mtaona!
 
Haya mambo sometimes yanaumiza... Basi tuu!!!
 
Back
Top Bottom