Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nipo ibada kuomba dua kwa mola wangu, mara nje nasikia mdundo wa PA na nyimbo za chama fulani. Nipo busy kufuatilia taarifa ya habari, nje nasikia sauti kubwa ya muziki wa kusifiachama fulani...
3 Reactions
11 Replies
917 Views
Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna tofauti kubwa sana iliyojitokeza jinsi tulivyo ripoti taarifa za uchaguzi za 2015 na hali ya sasa tunavyo endelea kuripoti. Kwanza tumetawaliwa na woga usiokuwa na sababu, na woga huu...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti. Pia amewachimbia visima...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu 2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa tathmini yangu, kama kuna kundi ambalo future yao imeharibiwa sana na sera, maamuzi na mienendo ya serikali ya Magufuli, basi kundi hilo ni la vijana. Kwanza, tukianzia kwenye sheria...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe ameilaumu TFF kwa kuvunja mkataba na kocha wa taifa stars mh Amunike Mbowe amesema tatizo la timu yetu kufanya vibaya linajulikana na si uungwana kumtoa kafara...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
Kitendo cha mgombea wa urais kupitia chadema kuomba mdahalo na jemedari wetu Magufuli kimezidi kumpoteza kwenye ramani. Najua yupo busy na kampeni naomba wafuasi wake mliopo hapa jamvini mnijibu...
13 Reactions
183 Replies
13K Views
Tunapoelekea mwishoni mwishoni kuelekea uchaguzi mkuu hapo tarehe 28.10.2020 Ni bora tujikimbushe namna ya upigaji kura wetu. Kazi yetu kubwa sisi wapiga kura ni kwenda kuwapigia kura wagombea...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini...
80 Reactions
152 Replies
16K Views
AIRPORT YA MTWARA SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imehakikisha upanuzi wa kiwanja cha ndege Mtwara unafanyika kutoka mita 30 mpaka mita 45, Pamoja na kuurefusha kutoka km 2258 mpka km 2800. Hii...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
KAMPENI ZA MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO Nileteeni Madiwani Kama Juma Raibu Leo katika kampeni zake zinazoendelea Mkoani Kilimanjaro Rais na Mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuniandika kwamba Mimi sio mtu mzima licha ya kwamba nimezaliwa mwaka 1958. Hebu angalia picha hi ya orodha ya wapiga Kura. Je hizi ni...
1 Reactions
0 Replies
654 Views
Tume imeruhusu vitu viwili vya ajabu. Mosi ni kuruhusu watu kutumia vitambulisho mbadala (Pasi ya kusafiria na leseni ya udereva). Pili ni kuruhusu mpiga kura kurudia kupiga tena kura iwapo...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe. Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu...
7 Reactions
180 Replies
15K Views
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla...
121 Reactions
984 Replies
96K Views
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom