Uchaguzi 2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yatatangazwa Dar na sio Dodoma kama ilivyosemwa awali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali

Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo lakini Dar kuna tawi la Tume kwa hiyo watatumia ofisi ya Dar kama ilivyokuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

NEC imesema kwa mujibu wa sheria ni wao tu ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya Rais, Wabunge na Madiwani

Aidha NEC imevikumbusha vyama vyote vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutimiza wajibu wao ili kuwa na Uchaguzi wa Amani

Chanzo: Citizen

The National Electoral Commission (NEC) has said that all votes’ summaries and announcement of the final elections results will be done in Dar es Salaam and not Dodoma as was earlier stated.

According to the commission, its headquarters in Dodoma but has branches in Dar es Salaam where it plans to announce the results as the case was in 2015.

It further reminded the public that according to the constituency and the election act the only authority that is mandated to announce the results for Presidency, Member of Parliament (MP) and Councilors is the NEC.

NEC Chairman, Retired Judge Semistocles Kaijage told journalists in Dar es Salaam that all political parties participating in the general elections to submit a list of their agents to elections returning officers of their constituencies.

“The commission has an obligation to remind all political parties and candidates of their responsibility towards having a peaceful election,” he said.

He stressed that all parties should submit lists of their agents and letter of identification to the returning officers of relevant constituencies for swearing in and arrangement for centers they will be reporting from.
 
Hao necccm ndiio watimize wajibu wao kuapisha mawakala wote wa upinzani,waliengua wagombea watu wakanyamaza hili halitapita lazima waapishwee wote
 
Just next week tutashuhudia mtu akipigwa kipigo cha mbwa mwitu. I can't wait to see this.
 
Tunajua mitambo ya kujumlishia kura ipo Dar lakini mjiandae Chadema na sisi tukishikirikiana na mabeberu tumeshaweka mitambo yetu.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali

Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo lakini Dar kuna tawi la Tume kwa hiyo watatumia ofisi ya Dar kama ilivyokuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

NEC imesema kwa mujibu wa sheria ni wao tu ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo ya Rais, Wabunge na Madiwani

Aidha NEC imevikumbusha vyama vyote vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutimiza wajibu wao ili kuwa na Uchaguzi wa Amani

Chanzo: Citizen

The National Electoral Commission (NEC) has said that all votes’ summaries and announcement of the final elections results will be done in Dar es Salaam and not Dodoma as was earlier stated.

According to the commission, its headquarters in Dodoma but has branches in Dar es Salaam where it plans to announce the results as the case was in 2015.

It further reminded the public that according to the constituency and the election act the only authority that is mandated to announce the results for Presidency, Member of Parliament (MP) and Councilors is the NEC.

NEC Chairman, Retired Judge Semistocles Kaijage told journalists in Dar es Salaam that all political parties participating in the general elections to submit a list of their agents to elections returning officers of their constituencies.

“The commission has an obligation to remind all political parties and candidates of their responsibility towards having a peaceful election,” he said.

He stressed that all parties should submit lists of their agents and letter of identification to the returning officers of relevant constituencies for swearing in and arrangement for centers they will be reporting from.
Dunia hii kila kitu k inawezekana hata tarehe ya uchaguzi inaweza badilishwa maana kuna MTU anahaha kweli kutafta huruma ya tume
 
Matokeo yanatangazawa kadri yanavyotufikia kauli hii huwa inaficha mengi. Hata yakiwafikia yaliyochakachuliwa ndio wanayotangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom