Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aendelea na kampeni katika viwanja vya Bank, Mombo Korogwe vijijini na viwanja vya Mwanjani Tanga

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,174
4,062
Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini. Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi.

Watu wa Korogwe hapa sio mgeni, nimepita hapa kama wiki mbili Niliwaambia nitarudi kufanya mkutano. Naleo nimekuja kuwaomba ridhaa yakuongoza nchi hii.

Leo nisiku muhimu kabisa, ni siku yakuapisha mawakala, na ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wawepo. Ilikusiwe na wizi wa kura inaangaliwa je mawakala wapo. Mawakala kuapishwa na kusimamia uchaguzi ni utaratibu wakisheria. Kuna utaratibu wameweka kuwa mawakala wakaapishwe kwa ofisi ya mkurugenzi wakati sheria ya tume imesema wanaweza kuapishwa hata kwenye ofisi ya kata.

Naomba nitoe rai kwa tume ya uchaguzi, kuwa wahahakikishe kwamba uchaguzi huu ili uwe huru na haki ni lazima wahahakikishe Kuwa mawakala wote wanaapishwa. Sheria imesema wanaweza kuapishwa kwa ngazi ya kata, hili swala lazima wakaapishwe kwa mkurugenzi sio sawa sababu sheria inasema wanaweza kuapishwa hata kwa mtendaji wa kata.

Nimeambiwa mkurugenzi wa Chato amekataa kuapisha mawakala wa Chadema kwakuwa barua zimefojiwa sahihi, toka lini mkurugenzi anakuwa mtaalamu wa miandiko. Sasa mkurugenzi wa jimbo la Chato naomba mawakala wa Chadema waapishwe, asitake kuharibu uchaguzi.

Agenda za Uchaguzi
Mombo naomba mnipe ridhaa yakuongoza nchi hii ili niwatatulie tatizo la maji. Tatizo La maji imekuwa shida ya nchi nzima, CCM wameshindwa kutatua kwa miaka yote waliyotawala. Serikali ya CCM inapesa zakununua ndege lakini sio kutatua tatizo la maji. Mombo mkapige kura kuchagua raisi, wabunge na madiwani wa Chadema ili tumalize tatizo la maji.

Ilani ya Chadema inasema Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Tunasema Uhuru kwa watu ili wawe na uwezo wakuhoji nakukosoa serikali. Watumishi wa serikali wamekosa haki yao zaidi ya miaka mitano kwa sababu zisizo eti anajenga barabara. Lazima tuhakikishe kunakuwa na maendeleo ya watu kwa kuwa na huduma zakijamii.

Mombo, Chadema italeta huduma ya Bima ya Afya kwa wananchi wote wanaoishi Tanzania. Bima ya Afya itaboresha huduma za Afya kwenye nchi. Wananchi watapata nafasi yakupata madawa ya uhakika na vipimo.

Chadema itajenga mahusiano mazuri na wawekezaji ili kutatua tatizo la ajira. CCM imevuruga wawekezaji kiasi tatizo la Ajira limekuwa Sugu, sasa Chadema itarudisha mahusiano na hawa wawekezaji ili kuongeza soko la ajira kwa vijana wetu.

Mwisho watu wa Mombo hakikisheni mnachagua madiwani wote wa Chadema ili tuchukue halmashauri ya Mombo, Mombo mchagueni mbunge Aminata Saguti . Nakura ya uraisi naomba mnichangie mimi Tundu Lissu nikasimamie Uhuru, Haki na maendeleo ya watu. Nawaombeni kura Zenu niwe raisi zenu, mimi sitaki kuwa raisi wa kidiktekta nitakuwa raisi wakubadilisha katiba mpya nakupunguza madaraka kwa raisi. Nitakuwa raisi mwenye kusimamia haki, mimi sitakuwa raisi kama akina Mwinyi, Mkapa wala Kikwete kwa sababu wamekuwa maraisi wakidikteta. Mombo mkapige kura na kulinda kura zenu, tutalinda kura ili kuzuia wezi.

Mungu awabariki sana Mombo.

1603280339717.png

1603280427116.png

1603280487951.png

-----
Tundu Lissu akiwa Tanga

Kwenye Viwanja Vya Mnyanjani Mkoani Tanga...

Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Tanga.,

Tanga tukashinde uchaguzi, tukaondoe waovu kwenye utawala na tukawaponye wenye majeraha.

Ni ajabu kwa kweli hapa Tanga kukosa wabunge wa Chadema na ACT kwa sababu ya tume ya CCM Kutaka kuweka vibaraka wao.

Tanga nimesikia kuwa mkurugenzi wa hapa anasema haina haja kuapisha mawakala kisa hatuna wagombea ubunge, sasa sheria imesema kuwa chama chochote chenye mgombea uraisi lazima kiwe na mawakala. Sasa nawaambia tume na mkurugenzi kuwa wawaapishe mawakala wetu wasitake ugomvi na sisi, nakitaka wataupata.

Agenda Za uchaguzi.

Tanga tukapige kura chagua madiwani wa Chadema au ACT popote atakapoona anafaa. chagueni diwani anayeweza kumshinda CCM, najua hatuna wabunge ila hakikisheni madiwan wetu wanashinda. Nakwenye kura ya uraisi ni kati ya mtesaji mkuu na mfariji mkuu. Tanzania miaka mitano tumeteswa, miaka mitano watu wamekufa, watu wamedhulumiwa na mateso yakila aina. Tanga mkanichague niwatendee haki, Tanga mnichague tuwaachie Masheikh wetu waliofungwa magerezani.

Tanga Jumatano ijayo ikawe mwisho wa mateso yenu. Tanga mkinipa ridhaa nitafungulia mateka wote wakesi za uongo. Tanga mkinichagua nitaenda kuwa raisi wa katiba mpya. Tanga mkinichagua nitatenda haki kwa kila mmoja.

Tanga kinyago tulichokichonga sisi wenyewe hatushindwi kukigeuza kuni. Jumatano mkapige kura kumkataa muovu, Tanga ndugu zangu mkachague raisi mfariji na mwenye kusimamia haki kwa kila mtu.

Tanga kesho naenda Pemba kuungana na Maalim Seif, kama yeye alivyoniunga mkono mimi nasisi Chadema tunamuunga mkono kwa Zanzibar.

Tanga kwa kumalizia Chadema inamipango mizuri na uwekezaji katika Jiji hili, inamipango mizuri yakuendeleza Jiji la Tanga. Tarehe 28 nawaomba dhamana yenu yakuongoza Taifa hili nakuwa Taifa la haki.

Ahsanteni Tanga na Mungu awabariki sana.

1603297453122.png

1603297480933.png

1603297523415.png

1603297558972.png
 
Huyu ndiye Rais tuliyependezwa naye, achana na yule mgonjwa anayewekewa feni mpaka kwenye paa la gari yake.
Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini.
Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi...

Watu wa Korogwe hapa sio mgeni, nimepita hapa kama wiki mbili Niliwaambia nitarudi kufanya mkutano. Naleo nimekuja kuwaomba ridhaa yakuongoza nchi hii.

Leo nisiku muhimu kabisa, ni siku yakuapisha mawakala, na ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wawepo. Ilikusiwe na wizi wa kura inaangaliwa je mawakala wapo. Mawakala kuapishwa na kusimamia uchaguzi ni utaratibu wakisheria. Kuna utaratibu wameweka kuwa mawakala wakaapishwe kwa ofisi ya mkurugenzi wakati sheria ya tume imesema wanaweza kuapishwa hata kwenye ofisi ya kata.

Naomba nitoe rai kwa tume ya uchaguzi, kuwa wahahakikishe kwamba uchaguzi huu ili uwe huru na haki ni lazima wahahakikishe Kuwa mawakala wote wanaapishwa. Sheria imesema wanaweza kuapishwa kwa ngazi ya kata, hili swala lazima wakaapishwe kwa mkurugenzi sio sawa sababu sheria inasema wanaweza kuapishwa hata kwa mtendaji wa kata.

Nimeambiwa mkurugenzi wa Chato amekataa kuapisha mawakala wa Chadema kwakuwa barua zimefojiwa sahihi, toka lini mkurugenzi anakuwa mtaalamu wa miandiko. Sasa mkurugenzi wa jimbo la Chato naomba mawakala wa Chadema waapishwe, asitake kuharibu uchaguzi.

Agenda Za Uchaguzi..

Mombo naomba mnipe ridhaa yakuongoza nchi hii ili niwatatulie tatizo la maji. Tatizo La maji imekuwa shida ya nchi nzima, CCM wameshindwa kutatua kwa miaka yote waliyotawala. Serikali ya CCM inapesa zakununua ndege lakini sio kutatua tatizo la maji. Mombo mkapige kura kuchagua raisi, wabunge na madiwani wa Chadema ili tumalize tatizo la maji.

Ilani ya Chadema inasema Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Tunasema Uhuru kwa watu ili wawe na uwezo wakuhoji nakukosoa serikali. Watumishi wa serikali wamekosa haki yao zaidi ya miaka mitano kwa sababu zisizo eti anajenga barabara. Lazima tuhakikishe kunakuwa na maendeleo ya watu kwa kuwa na huduma zakijamii.

Mombo, Chadema italeta huduma ya Bima ya Afya kwa wananchi wote wanaoishi Tanzania. Bima ya Afya itaboresha huduma za Afya kwenye nchi. Wananchi watapata nafasi yakupata madawa ya uhakika na vipimo.

Chadema itajenga mahusiano mazuri na wawekezaji ili kutatua tatizo la ajira. CCM imevuruga wawekezaji kiasi tatizo la Ajira limekuwa Sugu, sasa Chadema itarudisha mahusiano na hawa wawekezaji ili kuongeza soko la ajira kwa vijana wetu.

Mwisho watu wa Mombo hakikisheni mnachagua madiwani wote wa Chadema ili tuchukue halmashauri ya Mombo, Mombo mchagueni mbunge Aminata Saguti . Nakura ya uraisi naomba mnichangie mimi Tundu Lissu nikasimamie Uhuru, Haki na maendeleo ya watu. Nawaombeni kura Zenu niwe raisi zenu, mimi sitaki kuwa raisi wa kidiktekta nitakuwa raisi wakubadilisha katiba mpya nakupunguza madaraka kwa raisi. Nitakuwa raisi mwenye kusimamia haki, mimi sitakuwa raisi kama akina Mwinyi, Mkapa wala Kikwete kwa sababu wamekuwa maraisi wakidikteta. Mombo mkapige kura na kulinda kura zenu, tutalinda kura ili kuzuia wezi.

Mungu awabariki sana Mombo.

Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini.
Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi...

Watu wa Korogwe hapa sio mgeni, nimepita hapa kama wiki mbili Niliwaambia nitarudi kufanya mkutano. Naleo nimekuja kuwaomba ridhaa yakuongoza nchi hii.

Leo nisiku muhimu kabisa, ni siku yakuapisha mawakala, na ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wawepo. Ilikusiwe na wizi wa kura inaangaliwa je mawakala wapo. Mawakala kuapishwa na kusimamia uchaguzi ni utaratibu wakisheria. Kuna utaratibu wameweka kuwa mawakala wakaapishwe kwa ofisi ya mkurugenzi wakati sheria ya tume imesema wanaweza kuapishwa hata kwenye ofisi ya kata.

Naomba nitoe rai kwa tume ya uchaguzi, kuwa wahahakikishe kwamba uchaguzi huu ili uwe huru na haki ni lazima wahahakikishe Kuwa mawakala wote wanaapishwa. Sheria imesema wanaweza kuapishwa kwa ngazi ya kata, hili swala lazima wakaapishwe kwa mkurugenzi sio sawa sababu sheria inasema wanaweza kuapishwa hata kwa mtendaji wa kata.

Nimeambiwa mkurugenzi wa Chato amekataa kuapisha mawakala wa Chadema kwakuwa barua zimefojiwa sahihi, toka lini mkurugenzi anakuwa mtaalamu wa miandiko. Sasa mkurugenzi wa jimbo la Chato naomba mawakala wa Chadema waapishwe, asitake kuharibu uchaguzi.

Agenda Za Uchaguzi..

Mombo naomba mnipe ridhaa yakuongoza nchi hii ili niwatatulie tatizo la maji. Tatizo La maji imekuwa shida ya nchi nzima, CCM wameshindwa kutatua kwa miaka yote waliyotawala. Serikali ya CCM inapesa zakununua ndege lakini sio kutatua tatizo la maji. Mombo mkapige kura kuchagua raisi, wabunge na madiwani wa Chadema ili tumalize tatizo la maji.

Ilani ya Chadema inasema Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Tunasema Uhuru kwa watu ili wawe na uwezo wakuhoji nakukosoa serikali. Watumishi wa serikali wamekosa haki yao zaidi ya miaka mitano kwa sababu zisizo eti anajenga barabara. Lazima tuhakikishe kunakuwa na maendeleo ya watu kwa kuwa na huduma zakijamii.

Mombo, Chadema italeta huduma ya Bima ya Afya kwa wananchi wote wanaoishi Tanzania. Bima ya Afya itaboresha huduma za Afya kwenye nchi. Wananchi watapata nafasi yakupata madawa ya uhakika na vipimo.

Chadema itajenga mahusiano mazuri na wawekezaji ili kutatua tatizo la ajira. CCM imevuruga wawekezaji kiasi tatizo la Ajira limekuwa Sugu, sasa Chadema itarudisha mahusiano na hawa wawekezaji ili kuongeza soko la ajira kwa vijana wetu.

Mwisho watu wa Mombo hakikisheni mnachagua madiwani wote wa Chadema ili tuchukue halmashauri ya Mombo, Mombo mchagueni mbunge Aminata Saguti . Nakura ya uraisi naomba mnichangie mimi Tundu Lissu nikasimamie Uhuru, Haki na maendeleo ya watu. Nawaombeni kura Zenu niwe raisi zenu, mimi sitaki kuwa raisi wa kidiktekta nitakuwa raisi wakubadilisha katiba mpya nakupunguza madaraka kwa raisi. Nitakuwa raisi mwenye kusimamia haki, mimi sitakuwa raisi kama akina Mwinyi, Mkapa wala Kikwete kwa sababu wamekuwa maraisi wakidikteta. Mombo mkapige kura na kulinda kura zenu, tutalinda kura ili kuzuia wezi.

Mungu awabariki sana Mombo.

Kazi inaendelea
 
Huyu kamanda Yuko Serious.
 
Mombo naomba mnipe ridhaa yakuongoza nchi hii ili niwatatulie tatizo la maji. Tatizo La maji imekuwa shida ya nchi nzima, CCM wameshindwa kutatua kwa miaka yote waliyotawala
Ona utapeli wa Lisu si alisema hahitaji maendeleo ya vitu?
 
Ata yeye Lissu anajua anakwenda kuangukia pua katika uchaguzi huu, tatizo lililopo anakwenda kushindwa vibaya sana ilo ndilo wanalo ogopa sasa vinatafutwa visingizio.
 
Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini.
Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi...

Watu wa Korogwe hapa sio mgeni, nimepita hapa kama wiki mbili Niliwaambia nitarudi kufanya mkutano. Naleo nimekuja kuwaomba ridhaa yakuongoza nchi hii.

Leo nisiku muhimu kabisa, ni siku yakuapisha mawakala, na ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wawepo. Ilikusiwe na wizi wa kura inaangaliwa je mawakala wapo. Mawakala kuapishwa na kusimamia uchaguzi ni utaratibu wakisheria. Kuna utaratibu wameweka kuwa mawakala wakaapishwe kwa ofisi ya mkurugenzi wakati sheria ya tume imesema wanaweza kuapishwa hata kwenye ofisi ya kata.

Naomba nitoe rai kwa tume ya uchaguzi, kuwa wahahakikishe kwamba uchaguzi huu ili uwe huru na haki ni lazima wahahakikishe Kuwa mawakala wote wanaapishwa. Sheria imesema wanaweza kuapishwa kwa ngazi ya kata, hili swala lazima wakaapishwe kwa mkurugenzi sio sawa sababu sheria inasema wanaweza kuapishwa hata kwa mtendaji wa kata.

Nimeambiwa mkurugenzi wa Chato amekataa kuapisha mawakala wa Chadema kwakuwa barua zimefojiwa sahihi, toka lini mkurugenzi anakuwa mtaalamu wa miandiko. Sasa mkurugenzi wa jimbo la Chato naomba mawakala wa Chadema waapishwe, asitake kuharibu uchaguzi.

Agenda Za Uchaguzi..

Mombo naomba mnipe ridhaa yakuongoza nchi hii ili niwatatulie tatizo la maji. Tatizo La maji imekuwa shida ya nchi nzima, CCM wameshindwa kutatua kwa miaka yote waliyotawala. Serikali ya CCM inapesa zakununua ndege lakini sio kutatua tatizo la maji. Mombo mkapige kura kuchagua raisi, wabunge na madiwani wa Chadema ili tumalize tatizo la maji.

Ilani ya Chadema inasema Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Tunasema Uhuru kwa watu ili wawe na uwezo wakuhoji nakukosoa serikali. Watumishi wa serikali wamekosa haki yao zaidi ya miaka mitano kwa sababu zisizo eti anajenga barabara. Lazima tuhakikishe kunakuwa na maendeleo ya watu kwa kuwa na huduma zakijamii.

Mombo, Chadema italeta huduma ya Bima ya Afya kwa wananchi wote wanaoishi Tanzania. Bima ya Afya itaboresha huduma za Afya kwenye nchi. Wananchi watapata nafasi yakupata madawa ya uhakika na vipimo.

Chadema itajenga mahusiano mazuri na wawekezaji ili kutatua tatizo la ajira. CCM imevuruga wawekezaji kiasi tatizo la Ajira limekuwa Sugu, sasa Chadema itarudisha mahusiano na hawa wawekezaji ili kuongeza soko la ajira kwa vijana wetu.

Mwisho watu wa Mombo hakikisheni mnachagua madiwani wote wa Chadema ili tuchukue halmashauri ya Mombo, Mombo mchagueni mbunge Aminata Saguti . Nakura ya uraisi naomba mnichangie mimi Tundu Lissu nikasimamie Uhuru, Haki na maendeleo ya watu. Nawaombeni kura Zenu niwe raisi zenu, mimi sitaki kuwa raisi wa kidiktekta nitakuwa raisi wakubadilisha katiba mpya nakupunguza madaraka kwa raisi. Nitakuwa raisi mwenye kusimamia haki, mimi sitakuwa raisi kama akina Mwinyi, Mkapa wala Kikwete kwa sababu wamekuwa maraisi wakidikteta. Mombo mkapige kura na kulinda kura zenu, tutalinda kura ili kuzuia wezi.

Mungu awabariki sana Mombo.

Lissu kazia hapo hapo huku kuna watu presha inapanda presha inashuka.
 
Lissu keshapoteza sifa za kuwa Rais wa nchi hii.

Mizunguko yote anatukana tu.
 
Hivi wewe ndugu unalinganisha ndege na maji ambayo kila mtu anahitaji. Mbona huwa mnajitoa ufahamu kijinga hivi. Yaani ni sawa na kununua gari ili hali watoto wako hawana mahala bora pa kulala
ndege kanda ya ziwa zinabeba samaki kupeleka ulaya na abiria wanaozipanda hubeba samaki kibao wa mwanza kuja nao Dar es salaam mbona kule anazipiga vita wakati ndege huwasaidia soko la samaki zao watu walioko kule ambao wengi ni wavuvi na wafanyabiashara za samaki?

Taabu ilani yao iliandikwa ulaya sasa muda unayoyoma ndio akili zinaanza kumrudia!!

Anakumbuka shuka wakati kumekucha!!!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom