Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,996
- 144,329
Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za kuapisha mawakala pengine zisingetokea.
Tusisahau walianza katika zile chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kisha yakajirudia katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana mwishoni, na sasa kuna kila dalili yanakwenda kujitokeza tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kuna msemo: maneno huumba, ila leo naomba niongeze kwa kusema,"uvumilivu pia huumba/huzaa mazoea".
Tuseme enough is enough kwa vitendo.