Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imesema kukosewa kwa majina, picha au jinsia kwa baadhi ya wapigakura kwenye daftari la wapigakura kumechangiwa na wapigakura wenyewe kushindwa kufanya uhakiki wa...
22 October 2020
Pemba, Zanzibar
Lissu asherehekea 'Birthday' ya Maalim Seif kisiwani Pemba
Maaliim Seif afanyiwa sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa kwake na maelfu ya Wazanzibari na waTanganyika...
Mgombea Urais wa Tanzania anayeelekea kushinda Tundu Lissu leo atatikisa visiwa vya Pemba.
Pemba ngome Kuu ya ACT wanatarajiwa kumlaki kwa kishindo mgombea huyo wa Urais ambaye chama chake na ACT...
Wakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.
Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa...
SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA!
Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya...
Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha kimataifa, utakaogharimu shilingi bilioni...
Tutaunganisha sera za vyama vyote vya siasa ndani ya siku 100 za kwanza madarakani
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima Tanzania, AAFP, Seif Maalim Seif...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili.
Ametoa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku...
Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania.
Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa Mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe.
Ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha...
Tuanze na historia kidogo:
Mnamo 1948, vijana wa kizalendo wa China wakiongozwa na kiongozi Mao
waliitwaa china kutoka mikononi mwa serikali ya Kuomintang katika kile kilichoitwa "mapinduzi ya...
Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza...
Akiongea na Vyombo Vya Habari katika Ofisi za jiji la Arusha wakati akiwasilisha malalamiko yake kwa Mkurugenzi msaidizi wa uchaguzi dkt John Pima ,Mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini...
Hebu tuwekane sawa tusije kurukana kimanga baadaye.
Nauliza tu. Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea wa CCM, Mh rais John Pombe Joseph Magufuli ndio msimamo rasmi wa chama au ni kauli na...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka watazamaji wa uchaguzi wa ndani na wa kimataifa, waliopewa idhini na tume hiyo kuangalia uchaguzi mkuu, watekeleze wajibu wao kwa mujibu wa mwongozo na...
Tanzanians are counting 6 days to casting their votes later Wednesday next week.
So far the political rallies/campaigns have seen peaceful atmosphere allover the country. Two political figures...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura...
Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.