Twende na Membe, super sub dakika ya 89

Twende na Membe, super sub dakika ya 89

Northern empire

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
358
Reaction score
463
Hakika sio Siri tena Membe anakwenda kuonesha maajabu kwani kaiteka mioyo ya watanzania . Na sisi watanzania wengi tulikuwa tumekata tamaa baada ya huyu nguli mbobezi wa Mambo kuonesha kuyumba katika kampeni . Hivyo baada ya kutangaza kurudi kwa kishindo tumefarijika na tunaenda nae .

Tunajua maccm na baadhi ya wabaya wa membe wamejipanga kuzuia maafuriko ya super sub huyu ila tunawaambia patachimbika bila koleo siku ta tarehe 28 . Hatuna shaka na ushindi wake na ndio maana serikali inajitahidi kumvuruga ila hata asipofanya kampeni tunampeleka ikulu saa mbili asubuhi .

Dunia ijiandae kuona maajabu kwani kampeni yetu ya nyumba kwa nyumba ishafanikiwa na kwa utafiti unaonesha atashinda kwa asilimia sitinii.
 
Atakavyo wapiga tikitaka hao Act, na Chandimu hawatasahau kuchukua shushushu was CCM
 
Mzee niguse ninuke,lakini kaguswa harufu haitoki,acha tusubiri had I dakika ya 89 au majeruhi.
 
Back
Top Bottom