Syston
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 243
- 354
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.
1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni aibu Serikali haina hata ndege moja, walibeza kuwa Shirika la reli limekufa. Awamu ya tano zimenunuliwa ndege na reli imefufuliwa. Wamekosa cha kuongea kwa sasa hawana mpango wa maendeleo ya nchi bali wana bifu na Magufuli. Hawa wakipata nchi ndio wataanza kujiuliza afanye nini.
2. Leo mvua iliyonyesha haikuwa ya kawaida bali mafuriko, cha ajabu Zitto Kabwe amepost akidhihaki juhudi za ujenzi wa miundombinu iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. Huko ulaya mara kadhaa tumeshuhudia mafuriko yakileta maafa sasa sijajua Zitto alitaka nini ili kuzuia mafuriko.
3. Tundu Lissu ananadi uhuru, uhuru gani anaozungumzia maana kwa wananchi sidhani kama tunahitaji uhuru wa kisiasa kama wanaoutaka wao, kwa sababu ukiangalia wao wamezoea kuzua taharuki katika jamii ili wa trend.
NDUGU WATANZANIA TUPIGE KURA KWA WEREDI TUCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA NA SIO MTU MWENYE CHUKI NA MTU.