Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina...
55 Reactions
302 Replies
30K Views
Kuelekea Uchaguzi Mkuu nimekua nikifuatilia matangazo ya taarifa za habari kwa vituo vyote vya TV za hapa nyumbani nakushangazwa na Kituo cha Television cha Star TV cha jijini Mwanza. Kimekuwa na...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Maandishi na maandiko huishi. Yawe batili au halali. Nimekumbuka Baba Askofu Kakobe aliwahi kutoa matamko mazito kwa viongozi wakuu wa Nchi hii aliyodai katumwa na Mungu. Ingawaje kwa sasa...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Awali ya yote ningependa kwa unyenyekevu mkubwa kumshukuru mwenyezi Mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema kwa kutuwezesha sisi watanzania kuwa na kiongozi wa aina yake katika nchi yetu. Rais...
43 Reactions
220 Replies
25K Views
Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu. Ili kupunguza 'technicalities'...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Kama kuna jimbo ambalo CHADEMA wanaliwinda kwa udi na uvumba basi la Meatu lipo juu kwenye list! Ni jimbo ambalo lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na mfanyabiashra mwenye kiwanda cha vintwaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani. Faulu, figisu na uharamia sasa...
20 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuelekea uchaguzi wa tarehe 28 naomba Chadema na ACT Wazalendo mchukue tahadhari muhimu 1) Kuhusu mawakala wenu, wajiamini, wawe makini na matukio yote, wawe wenye uzalendo maana pesa nyingi...
26 Reactions
48 Replies
5K Views
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea? Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna sababu ipi ya msingi ambayo itakuvutia kwa uongozi huu mpaka unatamani kwamba upange mstari kupiga tena kura mwaka 2020? Au ni nini hasa kifakufanya usipige kura Kwa upande wangu kabla ya...
11 Reactions
59 Replies
5K Views
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja...
37 Reactions
96 Replies
7K Views
Jicho linaelekea katika jimbo la Sengerema lililopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza jimbo ambalo kwa miaka kumi na tano liliongozwa na Ngereja kama mbunge Ila mwaka huu baada ya kura za maoni...
8 Reactions
56 Replies
7K Views
Kawaida na hulka ya binadamu ni kutamani kusikia au kuona kitu kipya kuliko cha zamani, wazungu wanasema test the difference. Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wakipoteza muda mwingi kuelezea...
38 Reactions
101 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya chama cha CCM Ndg. Issa Mtemvu kwa uchunguzi nilio ufanya ni kwamba wananchi wa jimbo la Kibamba wanakuhitaji sana ili uweze kutatua...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mbunge mteule Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM) Regina S Zachwa amewataka wanachama wa CCM, wananchi kwa ujumla kurudisha Shukrani kwa Rais Magufuli kwa kumchagua kwa kura nyingi za kishindo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunafahamu msimamo wa CCM kuhusu uraia pacha, diaspora, je, CHADEMA mnasemaje Kama mkishinda?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania's President John Magufuli who has come under fire for his authoritarian leadership style has vowed that his ruling party will be "in power forever, for eternity". In a speech broadcast on...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Salaamu, Kwanza niwapongeze vyama tajwa kwa mwitikio mkubwa vinao upata kutoka kwa wananchi kwa muendelezo wa kampeni zinazoendelea tofauti na mategemeo ya watawala. Wote tunajua maelekezo...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Rais wa awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika kutathmini miaka mitatu ya Rais Magufuli ikulu amesifu juhudi zake za kuwa jasiri kurejesha heshima ya Taifa kwa kununua ndege mpya 4...
8 Reactions
84 Replies
21K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP amesema kuwa Serikali yake itaandaa Muswada punde baada ya kuingia Bungeni kwa ajili ya unyanyasaji na udhalilishaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom