Je, BAKWATA na CWT ni Taasisi huru?

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Wanajanvi habari zenu na poleni kwa mikiki mikiki ya kampeni za uchaguzi chini ya tume huru ya CCM.

Lengo langu leo ni kuwaelimisha watu ambao hawajui chochote juu ya BAKWATA NA Chama cha walimu Tanzania yaani CWT.

Kama wew ni msomi mzuri wa historia ya nchi hii basi utajua kuwa Baraza la waislamuTanzania yaani BAKWATA na Chama cha walimu Tanzania yaani CWT kabla ya mfumo wa vyama vingi vilikuwa ni jumuia mojawapo ya chama cha Mapinduzi CCM kama vile UWT na UVCCM au umoja wa wazazi.

Je, swali la kujiuliza baada ya mfumo wa vyama vingi hizi taasisi zipo huru kweli kufanya mambo yake bila kushinikizwa na Koloni Mama CCM?

Maendeleo hayana vyamaa
 
Matendo yao ndio majibu ya swali lako! Taasisi kama BAKWATA imekuwa ikipingwa kwa miaka nenda rudi na waislam lakini serikali imeendelea kuikumbatia!
 
Zipigwe kura za siri za ndio au hapana kuona kama BAKWATA na masheikh wake kina Alhad wataweza kutoboa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom