Upinzani wataleta vita, CCM hii siyo kweli

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Watakaoleta vurugu ni wale walioko madarakani. Walioko madarakani wasio tayari kushindwa wataleta vurugu. CCM, wanahubiri sana vita na kutishia watu na kuwaaminisha kwamba kuchagua upinzani ni kuleta vita. Hii imeshapita a wakati.

CCM na yule umimi wao, madarakani matamu ndo watakao let's vurugu. Tume ya uchaguzi, ila na upendeleo kwa chama tawala,,italeta vurugu.

AMANI ni tunda la HAKI, CCM hawapendi kuzungumzia haki. Ndo maana wanag'ang'ani kitu kimoja tuu Amani. Kwa ccm, neno HAKI ni mwiko. Wataongelea yote lakini sio mgombea, wala wapambe wake hawazungumzii swala la HAKI.

Wanacho jali wao ni Amani na Ushindi. Hawasemi matokeo yakija kinyume chake wakawa wameshindwa, watayapokea? Yaani HAKI ikitendeka.

Ningependa viongozi wa ccm nao waanze kugusia neno HAKI.?
 
Hata hivyo hakuna wa kuichagua Chadema, Kwasababu wamesimamisha msaliti wa Nchi

Labda apigiwe kura na robert
 
Yohana 7:7

Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi; bali hunichukia mimi, kwa sababu mimi naushuhudia ya kuwa kazi zake ni mbovu.

Lisu anachukiwa na Ulimwengu(Magufuli na wapambe wake), maana anashuhudia kazi zao mbovu(mfano, Chato Airport), ndiyo maana yanafanya kila juhudi kuhakikisha uma hausikii hizo kazi zao mbovu kwa kuhakikisha hatangazwi na vyombo vya Habari.
 
Hata hivyo hakuna wa kuichagua Chadema, Kwasababu wamesimamisha msaliti wa Nchi

Labda apigiwe kura na robert

Kabla ya kuongelea CHADEMA kwanini CCM haitaki kabisa kuongelea haki hilo neno lina shida gani hasa kwa CCM maana CDM wamesema wakishindwa kwa haki watakubali mbona CCM haisemi itakuwaje kama itashindwa kwa haki, inabaki kusema haiwezi kushindwa wakati wapiga kura ni wananchi hata kwenye mikutano yake hadi wahongwe burudani ya music ndipo waende
 
Haki ipo Ccm, Chadema wamejaa Mafisadi na waonevu

Back
Top Bottom