YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.