Je, ni nini kilichopo nyuma ya pazia ya teuzi ubunge viti maalumu CHADEMA

Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
 
ILLUMINATI RUMI

Senior Member
Aug 21, 2018
156
250
Umewakurupua walikuwa wamelala ngoja waamushane wanakuja andaa na sababu kabisa
Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.

Habari kutoka chazo cha kuaminika ndani ya chadema kuwa kwa mwanamke huwezi kupata teuzi za ubunge viti maalumu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo kama ujatoa rushwa ya ngono kwa mwenyekitI Mh Mbowe.Mifano mizuri ni kwa grace kiwelo ,chiku ambwao na Sophia hatau.Kitu ambacho kinatakiwa kikemewe kwa nguvu zote na wependa haki na watu wanaoamini katika mungu.Udhalilishaji wa kigono ni jambo la aibu sana kwa chama kikubwa cha upinzani chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama chenye mawazo mbadala hivyo chama kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya tuhuma hizi kwa kuwachukulia hatua watu kama mbowe pia takukuru inapaswa ichunguze na kuwafikiha mahakamani kwani rushwa ya ngono haikubaliki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
3,902

Marufuku kumwaga petroli kwenye shimo la majoka... yakifulumuka huko bro watakumaliza
Besides kumuongelea Nabii mbowe vibaya unaweza kula jambia la shingo
Dogo hujipendi wewe.. nakuonea huruma :D:D
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,791
2,000
wema angepewa teuzi endapo angekubali kutoa chini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja embu fatilia ni nini kilivunja ndoa ya mjukuu wa desamburo
Eti Wema angekubali kutoa chini,you sound so sick. Wema akatae kutoa chini?since when? Tena akatae na offer ya uheshimiwa on the table? Try a different story, this cheap shit doesn't hold water.
Afadhali hata hiyo story mliyomuwekea jela ya kwamba kampiga risasi Aquilina lakini siyo hii ya Wema.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,947
2,000
naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake chadema kumemuepushia kuwa chakula cha makamanda turudi kwenye ile voice note ya mwenyekiti na mrembo wema sepetu kitu kilichochangia kwa kiasi kikubwa mrembo huyo kurudi ccm.
Sidhani kama itakusaidia! As long as wewe ni CCM ,bullshit na propaganda zako! Afadhali angelisema mtu kutoka TADEA, lakini wewe Lumumba/CCM, tupa kule takataka!
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,145
2,000
Waliwateua warembo lakini wengi ukiwatizama sasa hivi choka mbaya wamekomesha hadi basi wako waliowazalisha,wako waliowafanyia cha kuwafanyia kibaya sasa hivi ukiangalia picha za wakati wakipewa teuzi na hali yao ya sasa utawaonea huruma.Wako wengine wanaumwa wakati kabla ya uteuzi walikuwa vizuri tu teuzi zimewafikisha kwenye mdomo wa shetani wa maradhi mabaya.Mzee mmoja aliwahi sema usijejilaumu mwanamke kama Mungu kakuumba na sura baya sana mshukuru huwezi jua kuwa alikuumba hivyo na lisura baya ili uishi miaka mingi usije kufa njiani kwa ukimwi kwa kugombaniwa na mianaume mikware yenye pesa,madaraka na umaarufu inayopenda warembo iliyojaa ukimwi hadi kwenye kope ikakuambukiza na kukuua kwa ukimwi mapema.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,145
2,000
Endeleeni kuhisi hivyo hivyo. Wema alipata teuzi?
Hakukuwa na nafasi wazi ya viti Maalumu lakini si uliona wakware walivyokuwa wanamng'ang'ania kama Luba? Mbowe na Godbless Lema walivyokuwa wakijigonga gonna kujionyesha nani anamjali wema kuliko mwingine? Mpaka wengine tikajisemea muda wowote ngumi zaweza pigwa kati ya Mbowe na Godbless Lema.Godbless Lema hajaenda hata kumuona Mbowe rumande ana kinyongo sababu Mbowe alikuwa karibu na wema kuliko yeye pamoja na kuwa Lema alikuwa akijilipia hadi ticket za ndege toka arusha kuja kwenye kesi za Wema dar es salaam.
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643

Mkuu na wewe jaribu kumpa rushwa mbowe au huutaki ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,011
2,000
Endeleeni kuhisi hivyo hivyo. Wema alipata teuzi?
Hawa jamaa walinikera walipopata viti maaulumu vingi wakaanza kuteuana kwa chupi na ushemeji na udada.

Lissu ana bwabwaja huko wakati dada yake aliteuliwa kuwa viti maalumu ubunge kwa sababu za udada,

Zitto naye dada yake aliteuliwa ubunge maalumu kwa sababu udada. Mbowe ndio usiseme kajaza chadema viti maalumu wachaga na watu wake.

Baada ya kuja kulitambua hilo hapo hapo niliacha kufuatilia siasa za Chadema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom