Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za wakati huu ndugu zangu wapenda amani, Nawaomba viongozi wa vyama vya upinzani kutoka Tanzania kama vile Mbowe, Zitto Kabwe, Maalim Seif na wengineo ambao wana dhamira za kweli za...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ameongioza mapokezi ya Ujumbe huo leo
1 Reactions
2 Replies
759 Views
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa...
11 Reactions
161 Replies
11K Views
Mr. President you are approaching the next election as an incumbent. People will judge you on your performance as a President. The points you scored during your presidency will either lift you or...
26 Reactions
112 Replies
8K Views
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
15 Reactions
397 Replies
37K Views
Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo...
37 Reactions
134 Replies
11K Views
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura. Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa...
19 Reactions
84 Replies
8K Views
Imenishangaza sana mwaka huu mgombea wa CCM kushindwa kwenda kwenye hiyo mikoa. Sababu zilizotolewa na ccm kwanini mgombea wao hajaenda kwenye hiyo mikoa, hazina mashiko. Eti, waziri mkuu ma...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna wakati najiuliza, kama CCM mmefanya vizuri mbona kiwewe sana? CCM wamepagawa sana, naona kwa kuwafungia wapinzani ndani miaka mitano, walifikiri upinzani haupo na umekufa. JPM Alifikiri njia...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa. Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua. Kwa kifupi...
66 Reactions
79 Replies
8K Views
Wanabodi, Kwa niliyoyaona kwenye kampeni za siasa mwaka huu hakika kuna mambo lazima kufanya maamuzi magumu na ya hasira ili Taifa lisonge mbele na watawala watuheshimu wananchi ikiwezekana kwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
25 Oktoba, 2020 NASAHA ZA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA – TANZANIA ZA KUSHAURI KILA MGOMBEA NA ZA KUSHAURI KILA CHAMA CHA MGOMBEA WAWE KISAIKOLOJIA NA FIKRA TULIVU ZA UTAYARI WA KUPOKEA...
14 Reactions
62 Replies
8K Views
Alisoma Tambaza kabla baba yake hajawa Rais wa Tz. Hii ni miaka ya 80. Baadaye alikwepa kujiunga na JKT na akatokomea Uingereza kusomea udaktari. Hata baada ya kurudi, hakujiunga na leo hii...
13 Reactions
143 Replies
21K Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanoa Dr. John Pombe Joseph Magufuli leo tarehe 31.05.2016 amemteuwa Dr Alex L. Kyaruzi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la umeme Tanzania...
2 Reactions
35 Replies
14K Views
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi...
24 Reactions
44 Replies
6K Views
Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana. === Mwenyekiti wa...
10 Reactions
15 Replies
4K Views
Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter: Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…