Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,383
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye hayaDhulma imezidi kwenye nchi hii dhidi ya waislamu na viongozi wao wa dini
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid
Walikamatwa kwa makosa yapiHao hawajahukumiwa kwa kosa lolote katika hayo, wapo Jela kinyume cha sheria
Kama walifanya hivi,basi wasitoke..waozee tu ndani,magaidi hawafai kabisa.Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid
Nawaaminia mnajua cha kufanya 2020.Dhulma imezidi kwenye nchi hii dhidi ya waislamu na viongozi wao wa dini
Kama ni magaidi mbona hamjawahukumu?Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid
Nawaaminia mnajua cha kufanya 2020.
Uchaguzi ukikaribiaga huwa mnazua vitu, ili mpate mnayoyataka, muitwe ikulu, na mle ubwabwa,.Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Tutahamasishana misikitin na sehemu zote tumechoka
Shekh posta amesoma waraka mzito kumpelekea Rais JPM ikulu dsm
Kama una ushahidi peleka mahakamani ili kesi yao iishe na wapate hukumu yao.Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya
Kuchoma makanisa
Kuua mapadre
Kumwagia watalii acid