Leo Siku ya maombi kuombea uchaguzi na kumuombea mgombea wa urais

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
1603688274622.png
 
Tunamuombea Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Ashinde kwa kishindo na endelee kututumikia kwa amani, upendo, unyenyekevu nk
 
Back
Top Bottom